Natafuta mume

Natafuta mume

...........Ayaaaa! wale wanaume wasio na vizazi changamkieni kulea familia. Samahani, eti uliyekula nae ujana wako na kukuachia hiyo timu yupo wapi?
 
Wewe mama nanii...sio unasema tu mcha Mungu mcha Mungu...umche Mungu Kwanza wewe...kisha muombe huyo huyo Mungu akupe mume mcha Mungu...na siyo kutafuta mume humu kwenye mitandao.....humu wote watakwambia wacha Mungu..unadhani kuna mtu anaeweza akasema yeye mcha shetani!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaume wote watakwambia wacha Mungu...ila mawazo yoote ni kwenye something between TWO legs


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nitafute mimi. Nina miaka 43 na nina watoto 14, sijui kama utaweza kuwalea ukichanganya na hao wawili wa kwako!!!!
 
Mim ni mshika dini mzur Sana tatizo nakula bear vibaya utanikubali mama
 
Natafuta mume

Sifa:

Mcha Mungu, mwenye kazi inayoeleweka,anaye penda family, mwenyekupenda maendeleo, umri 35-50.

Angalizo nina watoto wawili

hata kama hana uzoefu? manake watu huoana wkiwa bila watoto ili wapate uzoefu wa kupendana wao wenyewe kabla ya watoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom