Recent content by Trillionair

  1. T

    Kwinyara kwinyara Tumia lugha nzuri kukosoa

    Ur insane, hooligan n hopelesness!!
  2. T

    Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

    Ndivo alivyovaa. Tukio lilikuwa live
  3. T

    Kamanda Mambosasa: Askofu Gwajima siyo Mtuhumiwa bali ni muathirika wa lile tukio

    So muathirika unamtaka aripoti mwenyewe polisi, au vinginevo unamkamata kwa nguvu! Yajayo tz ni balaa! Anyway watz sio wajinga sana!
  4. T

    Hivi TUCTA wana ulazima gani wakuendelea kumwalika Rais Magufuli kwenye sherehe zao za Mei Mosi?

    Tucta ya sasa ni kibogoyo! Haina meno km ya wakina Mgaya ndg yangu.
  5. T

    Chadema Singida yapata mjengo wao

    Hadi raha aisee
  6. T

    Asante Diwani wa Igawa Mbarali Mbeya kwa kumchana live Magufuli

    Ila kiukweli akili za jiwe ni tope tupu! I guess hakuna kila kitu! Tumepata hasara!!
  7. T

    Kama wewe ni mwana CCM na mpaka sasa huna hela (za kutosha), wewe ni lofa kabisa

    Hi e wewe c mburula kbs! Yaani kwenye uzi huu una cha ku comment kweli? Kwahio wanaccm wenzio walokaa kimnya umewaona kenge sio?
  8. T

    MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    Yaani kwa upoyoyo na kujipendekeza kwa viongozi wa tucta, ni dhahiri wapo kwa ajili ya matumbo yao tu na si maslahi mapana ya wafanyakazi. Hotuba zao zimedhihirisha upuuzi huo!!
  9. T

    Kangi Lugola kuvua nguo kunaweza kumaliza kashfa hii ya jeshi la polisi?

    Ila na wewe ndg yangu unachekesha mno! Yaani unatarajia fisadi namba moja nchi hii aweke mambo sawa? Yaani kwakweli! Hivi c kuna watu wanadai ufisadi umepungua awamu ya tano chini ya Mzee misifa? Watz co wajinga sana!!
  10. T

    Nadhan hili la korosho limetupa funzo kubwa mno sidhan kama litajirudia tena

    Juwe alilenga kupiga, bila shaka alipiga parefu
  11. T

    Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

    Karoho kako ka kunguni kanakuuma
Back
Top Bottom