Raphael Chegeni(CCM): Tusidanganyane, makusanyo ya TRA yanashuka kwa sababu biashara zinafungwa kila siku

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Mbunge Raphael Chegeni amesema ni ukweli usiofichika kuwa makusanyo ya kodi yanashuka kila siku kwa sababu biashara zinafungwa kila siku.

Chegeni amesema hayo wakati akichangia bajeti ya wizara ya viwanda na biashara na bunge zima likamshangilia.

Chegeni amedai kuwa Naibu waziri wa fedha alisema uwongo alipodai biashara zinazofungwa ni chache sana ukilinganisha na zile zinazofunguliwa.

Ukweli ni kuwa watu wanafunga biashara kila siku amemalizia Dr Chegeni.

Source: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
 
Lazima tujitafakari haiwezi kuwa sifa wala dalili njema Leseni Milioni moja zimerudishwa kwa watu kufunga biashara. Kwa yeyote mwenye Mapenzi ya Dhati kwa Nchi hii lazima mamlaka husika zijitafakari wapi wanapeleka uchumi wa Nchi" Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi
D6hgAjXWkAAFW2H.jpg
 
tutaongea lugha moa, waimba kwaya wa kijani wataongea tu, wale wazee wa bagamoyo nzi wa kijani wataimba wimbo ulio bora, watu walinunua viwanja na mahoteli wakijua bandari inakuja kumbe mkwere imekula kwake.
 
Lazima tujitafakari haiwezi kuwa sifa wala dalili njema Leseni Milioni moja zimerudishwa kwa watu kufunga biashara. Kwa yeyote mwenye Mapenzi ya Dhati kwa Nchi hii lazima mamlaka husika zijitafakari wapi wanapeleka uchumi wa Nchi" Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi
D6hgAjXWkAAFW2H.jpg
Huyu bado hajatekwa tu!. Hawaja mpyu pyu!.
 
Back
Top Bottom