Je, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni bush lawyer? amejisahau? anapotosha? au anahitaji elimu?

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,902
10,502
Huyu mtu walimtoa wapi!? He looks so incompetent, you can say that again!

Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu "stay of execution" ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!

Lakini si kila rufaa zote zinasimamisha hukumu ya mahakama! Hukumu ya mahakama haiwezi kusimama endapo pana UVUNJIFU ENDELEVU WA KATIBA AU SWALA LILILOTOLEWA UAMUZI. (Hilo limeshazungumzwa kwenye sheria ya bradea na authorities nyingi za kimahakama)

Nimemuona jana anazungumza vitu vya hovyo hovyo nikajiuliza huenda ni kwasababu hata yeye mwenyewe yuko kwenye hicho kiti kimagumashi bila qualifications????

Kama amezungumza hayo with 'genuine ignorance' basi kuna haja ya nchi kufanya vetting stahiki kuepuka kubeba makapi! Lakini kama anapotosha kwa makusudi ajue kuwa anafanya UHAINI wa kupindisha ruling ya mahakama.

Zuio la mahakama kuu liko pale pale mpaka rufaa itakaposema vinginevyo!
 
Huyu mtu walimtoa wapi!? He looks so incompetent, you can say that again!

Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu stay of execution ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!

Lakini si kila rufaa zote zinasimamisha hukumu ya mahakama! Hukumu ya mahakama haiwezi kusimama endapo pana UVUNJIFU ENDELEVU WA KATIBA AU SWALA LILILOTOLEWA UAMUZI. (Hilo limeshazungumzwa kwenye sheria ya bradea na authorities nyingi za kimahakama)

Nimemuona jana anazungumza vitu vya hovyo hovyo nikajiuliza huenda ni kwasababu hata yeye mwenyewe yuko kwenye hicho kiti kimagumashi bila qualifications????

Kama amezungumza hayo with genuine ignorance basi kuna haja ya nchi kufanya vetting stahiki kuepuka kubeba makapi!

Kama amepotosha ajue kuwa anafanya UHAINI wa kupindisha amri ya mahakama which is a CRIMINAL OFFENCE! Let him be advised to be smart.....ataaibika! Wacha siasa mbofu mbofu!

Zuio la mahakama kuu liko pale pale mpaka rufaa itakaposema vinginevyo!
Amethibitisha kwamba hatuna tume huru `time has already told '
 
Kamongo mwingine huyo Mkuu.

Huyu mtu walimtoa wapi!? He looks so incompetent, you can say that again!

Wanasheria wananielewa vizuri nikizungumza kuhusu stay of execution ama kwa lugha rahisi ni kusimama kwa hukumu ya mahakama ya chini mpaka pale mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa!

Lakini si kila rufaa zote zinasimamisha hukumu ya mahakama! Hukumu ya mahakama haiwezi kusimama endapo pana UVUNJIFU ENDELEVU WA KATIBA AU SWALA LILILOTOLEWA UAMUZI. (Hilo limeshazungumzwa kwenye sheria ya bradea na authorities nyingi za kimahakama)

Nimemuona jana anazungumza vitu vya hovyo hovyo nikajiuliza huenda ni kwasababu hata yeye mwenyewe yuko kwenye hicho kiti kimagumashi bila qualifications????

Kama amezungumza hayo with genuine ignorance basi kuna haja ya nchi kufanya vetting stahiki kuepuka kubeba makapi! Kama amepotosha ajue kuwa anafanya UHAINI wa kupindisha amri ya mahakama which is a CRIMINAL OFFENCE! Let him be advised to be smart.....ataaibika! Wacha siasa mbofu mbofu!

Zuio la mahakama kuu liko pale pale mpaka rufaa itakaposema vinginevyo!
 
Awamu hii kwa nini viongozi wengi ni incompetent? Wengi wao, matwndo na kauli zao zinasadifu kukosa weledi. Ni kweli hawajui au wameamua kutupa elimu, akili na taaluma zao ili mradi tu washibishe matumbo?
 
Back
Top Bottom