Daaah pole sana mkuu.Nakumbuka kuna mtaa huwaga napitapita sana na sometimes huwaga nafanya miamala sasa ile sehemu nje kabisa kwa pembeni kuna dada mkubwa tu hivi amekaa kwa nje yule dada ni chizi lakini anapata huduma zote za milo mitatu na amenona kweli basi bwana pale watu hawakauki watu huw...
Mimi ni mkazi wa hilo eneo nakuunga mkono mkuu ,unajua ishu hawa viongozi wetu waingiapo madarakan tu basi hauwaoni hawa viongozi wa chini ukiwafata utasikia ngoja tuandike barua yaan complications nyingi sana
Nimesoma physcs advance nakumbuka teacher alikuwa mmoja tu inabidi afundishe 5 na 6 mbaya zaid mwalimu wenyewe muda wote yupo town kushika shika mademu tu.
Daah lakini mungu ni mwema wengi tulitoboa ni jitihada binafsi za wanafunzi na ushirikiano.
Katika ndoto ambazo binadamu atatimiza kwa 100% basi kifo namba moja.Mkuu haipo nafsi duniani ambayo haigopi kifo na haipo nafsi ambayo itakikwepa kifo .Kifo ni kama kiumbe kimeumbwa kama sisi isipokuwa hakionekani na wala hakizai.
Kitampitia kila mmoja wetu aliye hai cha msingi kwa imani yako...
😅😅😅 mkuu nacheka kama mazuri hivi anyway.
Mimi ningekuwa wewe ningemfata huko huko huyo mchumba na kumpima kuhakikisha kama kwel maana ukimtumia nauli aje atakula tu.
mkuu kajenge tu.....alafu unakuwa wa kwanza kutumia kile kitu na kwa kuwa una mzigo wa kutosha unaplan kila kitu itasaidia kufanya budget yako isipinde pinde utaenda strait until deal done.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.