Recent content by Traveller1

  1. Traveller1

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Kuna jamaa hapo morogoro kaajiliwa mwaka jana tu masikini na yumo kwenye list
  2. Traveller1

    Wanaume tunapofanya tendo la ndoa zingatieni haya!

    Wanawake wenyewe wa kukojolesha ni hawa hawa wa sasa ambao papuchi zimeshatumika tangu shule ya msingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Traveller1

    Tukumbuke ya Libya,Iraq na Syria Tukawaona mabeberu was Ulaya na Marekani ni Wema sana Kwetu

    Mkuu unaona mbali sana ila kuna raia bado hawawezielewa
  4. Traveller1

    Uliza swali lolote kuhusu kozi ya "Land Management and Valuation(LMV)" Chuo Kikuu cha Ardhi

    Watarajiwa university students endeleeni kuuliza mtajibiwa.
  5. Traveller1

    Uliza swali lolote kuhusu kozi ya "Land Management and Valuation(LMV)" Chuo Kikuu cha Ardhi

    Diploma ya lmv inatolewa tabora tu na unasoma kwa miaka 3.
  6. Traveller1

    Uliza swali lolote kuhusu kozi ya "Land Management and Valuation(LMV)" Chuo Kikuu cha Ardhi

    Kuajiriwa unaajiliwa kama afisa ardhi au mthamini wa selikali na ajira huwa zinatoka na pia unaweza kujiajili kwa kufungua company inayohusiana na kutoa huduma za uthamini.
  7. Traveller1

    Uliza swali lolote kuhusu kozi ya "Land Management and Valuation(LMV)" Chuo Kikuu cha Ardhi

    Huwezi kusoma kwani chuo kikuu cha ardhi wanatoa degree tu labda ukaanzie Diploma ktk chuo cha ardhi Tabora.
  8. Traveller1

    Uliza swali lolote kuhusu kozi ya "Land Management and Valuation(LMV)" Chuo Kikuu cha Ardhi

    Principal level pass mbili na angalau pass ya math o level.
  9. Traveller1

    Uliza swali lolote kuhusu kozi ya "Land Management and Valuation(LMV)" Chuo Kikuu cha Ardhi

    Mwanafunzi unaetaka kujua kuhusu hii kozi au mtu yeyote mwenye interest na kozi ya LMV unaweza Kiniuliza chochote kuhusiana na hiyo kozi.
  10. Traveller1

    Hodii hodi

    Karibu mkuu ila kuwa alert humu sio facebook
  11. Traveller1

    Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

    Ardhi sio mali ya rais ila rais anamanage ardhi yote kwa niaba ya wananchi.Kwa hiyo ardhi ni ya UMMA.
  12. Traveller1

    Vitabu vitano (5) vitakavyobadili maisha yako

    Tupia soft copy mkuu itapendeza zaidi
  13. Traveller1

    Naomba Notes za advance wandugu

    Wakuu kuna site yeyote naweza pata material ya o level
  14. Traveller1

    Top universities in Tanzania 2018

    Haiwezekani udom ikae juu ya sua na ardhi
Back
Top Bottom