Vitabu vitano (5) vitakavyobadili maisha yako

Vitabu vitano (5) vitakavyobadili maisha yako

Upo uzi unaoendana na huu... Mods fanyeni kazi yenu kuunganisha threads kama mlivyo sharp kuwapa watu ban
 
Li kitabu lina violence hivyo nani analitaka?

Na pia kwanini biblia tu?Je kuran,je B. Gita,etc?

Dini ina walemaza sana!

Utafikiiri dini inawafanya muwe better human beings wakati infact it is not!

I can be a nice person with no trace of dini of any kind in me!
We jamaa mbna unamitazamo negative sana kila ninapoona umecoment !tatizo nn mzee uelewa umezidi sana kuliko maarifa nn ?
Behave man.
 
Kingine ni biblia amini usiamini ila ukisoma vitabu kadhaa ktk biblia utabadili maisha yako totally
Hakika sijawahi kuona kitabu cha ajabu kama Biblia na wengine wanaona Biblia kuwa kitabu cha wakristo tu lakini biblia inautajili wote
 
The Secrets Of Happiness By Tanushree Podded
Why We Want You To Be Rich By Donald Trump & Robert Kiyosaki
Street Fighter By Nimemsahau
 
Na Bible ndo kitabu cha siku nyingi na kinachoendelea kusomwa na kilichosomwa na kinachomwa na watu wengi duniani
 
It takes three (3) weeks (21 days) to learn new habit. It's up to you to maintain the desired practices. Best wishes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom