Naomba Notes za advance wandugu

Muumangu

Member
Dec 31, 2017
70
95
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level, hivyo basi naomba kwa mdau yeyote mwenye notes za a-level au vitabu( soft copy) vya chemistry na physics anisaidie, nikapambane na hali yangu mbele ya safari.
Ahsanteni
 
Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
349
500
Nina NCERT TEXT BOOK ZA CHEMISTRY AND PHYSICS BUT I DON'T KNOW THE WAY I CAN SEND THEM 2U BRO
 
Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
349
500
Au search google ncert text book class 11 for chemistry and physics in pdf form
 
Attachments

  • File size
    4.3 MB
    Views
    79

Hammy Js

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
3,070
2,000
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level, hivyo basi naomba kwa mdau yeyote mwenye notes za a-level au vitabu( soft copy) vya chemistry na physics anisaidie, nikapambane na hali yangu mbele ya safari.
Ahsanteni
Kama upo DSM,nenda kwenye matuition ya mchikichini(sina hakika kama bado wapo mana tangu nimalize advance huu ni mwaka wa sita sijaendaga huko) huwa wanauza notes za kila aina
 
Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
349
500
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita, chemistry na physics, changamoto inayonikabili ikawa notes, sina kabisa notes wala materials ya A-level, hivyo basi naomba kwa mdau yeyote mwenye notes za a-level au vitabu( soft copy) vya chemistry na physics anisaidie, nikapambane na hali yangu mbele ya safari.
Ahsanteni
masiamsokwa8@gmail.com ni email yangu nitafute nikurushie pdf za ncert text book chemistry and physics for class 11
 
Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
349
500
Samahani jamani kwa wale wote mlionitumia email mkihitaj kutumiwa vitabu vya advance swala la kupitia email limeshindikana kwa kuwa vitabu ni vikubwa kuweza ambatanishwa katika email
Nelkon and parker 49MB
NA NCERT TEXT BOOKS ZOTE NILIZIBAZO NI KUANZIA MB KUMI KUPANDA HIVYO IMESHINDIKANA WANDUGU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom