Recent content by Tractor

  1. T

    Anahitajika binti wa kufanya kazi stationery

    Anahitajika Binti wa kufanya kazi stationery, SIFA: Awe na uzoefu wa kufanya kazi stationery Anajua kutumia computer Mwaminifu Awe na umri 20-25 Awe ni mkazi kati ya haya maeneo Mbezi kimara, Kinyerezi Malamba Mawili na Segerea. Mwenye SIFA hizo aje PM
  2. T

    Wale wamiliki wa Nissan Dualis 2010, na wengine wenye ufahamu wa Bei ya wheel bearing za Nissan Dualis

    Habari za mida wakuu!! Wale wamiliki wa Nissan Dualis 2010, na wengine wenye ufahamu wa Bei ya wheel bearing za Nissan Dualis. Gari yangu Kuna mlio unavuma kwenye miguu ya nyuma Sasa Kuna fundi nilimpelekea akacheki akaangalia akasema b Wheel bearing zipo vizuri, aidha ni bearing za shaft ya...
  3. T

    Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Siyo urafiki tu Hadi undugu unapotea kidogo dogo,the way unavyozeeka ukaribu wako na watu hupungua,Hadi watoto wako baadae watakuwa bize na maisha Yao, kama ulikuwa Mume/Mke Bora utabakia na mke wako au Mume wako tu uzeeni.
  4. T

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Watalaamu tunaomba ufafanuzi Kila Daraja atapata nyongeza ya kiasi Gani wakuu. Mf. Daraja A B C D mpaka Mwisho. Najua humu wapo watalaamu kabisa wa kujitolea kutupa Elimu ya hiyo nyongeza ya asilimia 35.1% Naomba kuwasilisha
  5. T

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Kama upo mkoani na upo mwenyewe tafuta chumba kimoja na Kodi iwe 30,000/=kushuka. Kama wife yupo mbali na wewe na Hana shughuli ya kufanya I mean na yeye hajaajiriwa yupo tu home mwite mje mjae wote. Ila akija ndo utapanga vyumba Viwili standard na Kodi isiwe kubwa zaidi ya 80k, mkiwa sehemu...
  6. T

    Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

    ,😀😀😀😀😀😀
  7. T

    Subaru forester kushuka bei kwa kasi

    Mazda CX-5 pambana ununue ya petrol kiongozi, hizi za Diesel zinachemsha sana.
  8. T

    Idadi ya wakatoliki yaongezeka Duniani, wafikia Bilioni 1.406 katika kipindi cha Mwaka 2025

    Ni rahisi sana maana takwimu zinakisanywa kuanzia ngazi Jumuiya, inaenda Kanda, Kanda inaenda parokiani,parokiani jimboni, makao makuu ya dini nchini then yanapaa kwenda Vatican, Sasa hapo Kila nchi inapeleka takwimu zake, zinajimlishwa kule Vatican. Na hii ni kwa wale waliokwisha batuzwa...
  9. T

    Subaru forester kushuka bei kwa kasi

    Ahsante sana, umetoa majibu ya Kitaalamu na uzoefu wa magari,🙏🙏
  10. T

    Subaru forester kushuka bei kwa kasi

    Hata ukifuatilia magari mengi yaliyopo garage ni ya Vijana, ila wamiliki wa magari kuanzia umri wa 50+ hawakuti sana.
  11. T

    Subaru forester kushuka bei kwa kasi

    Kwa taarifa zilizo mtaani Kwa Sasa kwenye ishu ya magari, wadau wanauliza inakuwaje Subaru Forester zinaaanza kushuka Bei za Mauzo? Wakuu tunaomba kujua Kuna nini kwenye ishu ya Subaru Forester? Au wabongo wameshaanza kuyangorosha, matumizi mabaya ya uendeshaji? Kuna jambo huwa najiuliza...
  12. T

    Chanjo na dawa za kuzuia vifo vya vifaranga wa kuku wa kienyeji

    Wape chanjo, siku ya kwanza kutotoleshwa chanjo, siku Tano Newcastle, ugombolo, mwezi mmoja unamchanja Ndui,bàada ya hapo unaendelea na Newcastle na ugombolo
  13. T

    Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Wanyambo watulivu kiasi,hawana majivuno Hawa jamaa, wapo pouwa sana aisee
Back
Top Bottom