Subaru forester kushuka bei kwa kasi

Subaru forester kushuka bei kwa kasi

Unazungumzia 2nd generation zile za 2003-2007/2008?

Hizo sikumbuki hata kuiona namba E!
 
Gar za vjana znakufa kutokana na matumiz kua over limit unakuta mtu anatoka kazn anaptiliza kulewa badae anasambaza washkaj zake mpka na wahudum wkend analiazmisha kwa mshkaj wake akatoe mahal sehm yan glhata ingekua n kichwa cha tren lazma kingechoka tu wakat wazee wetu gar ilkua inatumika kwa specifc task tu na n mkono mmoja anaendesha yeye tu sio gar ya masela
 
Niliwahi kwenda kukopa Mkopo pale Platinum kupitia dhamana ya gari.
Mitsubish Pajero TD, na Subaru walikataa kata kata.
Walitoa kupitia Toyota Rav4.

Sababu, zinashuka bei haraka na haziuziki zikiishatumika hapa Bongo.
 
Mtoa mada ni muongo asiyejua mambo ya magari.
Subaru forester haijawahi kushuka bei kwasababu Subaru forester inashika nafasi ya 6 kwenye mitandao mingi ya wauzaji magari hapa TANZANIA.
Mwaka Jana ilikuwa nafasi ya Kwanza Kwa watu kununua hii gari
 
Mungu nijalie nihamie kwenye mazda cx-5 mwaka huu maana ni gari nalolitamani katika cross overs
Haya nayo wataalam wanadai yenye ubora ni c x5 inayoanzia 2016 kwenda juu, lkn chini ya mwaka huo naona hata bei zake Kwa bongo used zimeshuka sana.
 
Kwa taarifa zilizo mtaani Kwa Sasa kwenye ishu ya magari, wadau wanauliza inakuwaje Subaru Forester zinaaanza kushuka Bei za Mauzo?

Wakuu tunaomba kujua Kuna nini kwenye ishu ya Subaru Forester?

Au wabongo wameshaanza kuyangorosha, matumizi mabaya ya uendeshaji?

Kuna jambo huwa najiuliza kwanini gari zikija bongo,zinaharibika haraka hivyo?
Swali je?

Ni kwamba watanzania wengi hatuna Elimu ya magari?
Je, uendeshaji wetu siyo makini?

Au miundominu yetu haviendani na vyombo vya usafiri tunavyonunua?

Au sisi ndo tunanunua magari yaliyozeeka sana yanakuja kutufia huku?

Maana ukiangalia gari nyingi used sehemu kubwa zilizotumika ni huko yalikotengenezwa, unakutana na gari imetembea Km 200,000, lakini ikifika hapa bongo hai huchukui hata mwaka imeshaenda garage zaidi ya mara mia.

Ila Kuna kautafiti Cha kawaida nimefanya nimegundua magari mengi yaliyopo garage ni Marika ya Vijana kuanzia 25-45 na hii hutokana na roughly driving.

Mwenye maoni zaidi.
Barabara mbovu hata kama ni lami mafuta na mashimo
 
Hata ukifuatilia magari mengi yaliyopo garage ni ya Vijana, ila wamiliki wa magari kuanzia umri wa 50+ hawakuti sana.
Vijana tunanunua kwa mihemko bila kuangalia uhalisia wa kipato unachukua mkopo m25 unavuta gari mzee ananunua kwa saving na pesa ya ziada ambayo haiathiri mahitaji yake mengine pia mzee wa 50+ si gari yake yakwanza akienda anabadirisha kwa kupanda,
Vijana hukuwahi ata kununua gati ya m10 au 15 unaanza na gari ya m30 sababu inatrend
 
Hata ukifuatilia magari mengi yaliyopo garage ni ya Vijana, ila wamiliki wa magari kuanzia umri wa 50+ hawakuti sana.
age hiyo ya juu hawanunui mikweche. Utakuta wanamiliki chuma kv Ford Raptor, Prado TX latest, LC 200s & 300s nk. Garage wanaenda tu Victoria Service Station kubadili fuels. Machalii leteni Mwenge magereji tupige nyundo hayo mawishborn
 
Haya nayo wataalam wanadai yenye ubora ni c x5 inayoanzia 2016 kwenda juu, lkn chini ya mwaka huo naona hata bei zake Kwa bongo used zimeshuka sana.
Yes mafundi washaniambia hili pia kuwa chini ya hapo yana changamoto nyingi.
 
Dualis Hamna gari mule.
ninayo mwaka wa nne ila nakili si gari nawez akumshauri mtu anunue hasa kama ni rough driver. inataka kubembelezwa na kupetiwa petiwa na uhakikishe unaipiga service on time otherwise utalipaki tu hapo likiwa limeua gearbox hasa.
 
Back
Top Bottom