Recent content by Topd

  1. Topd

    JamiiForums Tanzania Kashfa: Tigopesa wanadhulumu hela za wateja?

    Mimi pia nina dukuduku kuhusu awo Tigo Naomba nipunguze jaziba kwanza...ntarudi kulitoa.
  2. Topd

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na ubunifu wa fundi huyu..!

    Swadakta,...!! Uyo fundi uyo???
  3. Topd

    JamiiForums Tanzania Msaada wa link za movie

    Bitorrent
  4. Topd

    JamiiForums Tanzania Kupunguza mafuta usoni

    Habari wanajamvi hususani kona hii ya urembo, mitindo na utanashati, Msaada jamani uso wangu unajaa sana mafuta. Mfano naweza nisipake chochote kile ila dk 2 tu unajaa mafuta tena kama jua likiniangaza kidogo tu. Utafikiri nimejipaka kopo zima la babycare. Naomba ushauri nitumie nini ili...
  5. Topd

    JamiiForums Tanzania Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

    Staying under one roof,....!!! Hujaoa mzee
  6. Topd

    JamiiForums Tanzania International school in Dar-es-salaam yenye boarding kwa primary level

    Izi Ni academy school...Mimi nahitaji international school Kama Feza ivi.. Asante
  7. Topd

    JamiiForums Tanzania International school in Dar-es-salaam yenye boarding kwa primary level

    Habari wana jamvi,..naomba kupata list ya best international school zilizoko jijini Dar-es-Salaam zenye boarding kwa primary level. Kama pia utaweza kulist out Ada yake pia ntashukuru. Shule yenye level Kama Feza. Asanteni.
  8. Topd

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni waraka wa kuajiri acheni maneno ya kujinadi jukwaani na TV

    Hii ni jinsi ya kudeal na UKUTA
  9. Topd

    JamiiForums Tanzania Binti wa stationery

    Mimi apa
Back
Top Bottom