International school in Dar-es-salaam yenye boarding kwa primary level


Topd

Topd

Member
Joined
Aug 22, 2016
Messages
10
Likes
4
Points
5
Age
25
Topd

Topd

Member
Joined Aug 22, 2016
10 4 5
Habari wana jamvi,..naomba kupata list ya best international school zilizoko jijini Dar-es-Salaam zenye boarding kwa primary level. Kama pia utaweza kulist out Ada yake pia ntashukuru. Shule yenye level Kama Feza.
Asanteni.
 
WAKUNJOMBE

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
361
Likes
254
Points
80
WAKUNJOMBE

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
361 254 80
Mkuu hata mimi nahitaji huu msaada

ukipata majibu naomba unisaidie na mm
 
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
5,303
Likes
5,683
Points
280
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
5,303 5,683 280
Canossa primary school, Hazina Primary school, Kuna nyingine iko mbezi beach kanisa katoliki nimesahau jina kidogo, Tusiime.

Zaidi angalia Shule za KATOLIKI ndio best Schools hapa Tanzania, hakuna ubishi.
 
Topd

Topd

Member
Joined
Aug 22, 2016
Messages
10
Likes
4
Points
5
Age
25
Topd

Topd

Member
Joined Aug 22, 2016
10 4 5
Canossa primary school, Hazina Primary school, Kuna nyingine iko mbezi beach kanisa katoliki nimesahau jina kidogo, Tusiime.

Zaidi angalia Shule za KATOLIKI ndio best Schools hapa Tanzania, hakuna ubishi.
Izi Ni academy school...Mimi nahitaji international school Kama Feza ivi..
Asante
 

Forum statistics

Threads 1,272,951
Members 490,211
Posts 30,465,560