Recent content by top kibobo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    4G 😀😀
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mungu wangu jaman
  3. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Huko ndiko chimbuko la Ulinzi na Usalama wetu usiwaogope watendaji na msijifunze short cuts ni mbaya sana. Ukipenda mtelezo hutakuwa balozi mzuri wa huduma uliyoipata Kwa wengine
  4. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Kwa kudanganya unaweza ipata lakini Passport anapewa mtanzania yeyote aliekidhi vigezo na anayetaka kusafiri nje ya nchi.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Rushwa wapi we kima. Fika ofisin ukaulize gharama zinapandaje.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma yao?

    Umenena vyema Mkuu🙏🙏
  7. T

    JamiiForums Tanzania Barabara za mkoani

    Mkoa gan huo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Tutafanyaje Sasa na imeshatokea, tunajipanga KWA mechi ijayo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Tulia ww, huo ni mchezo tu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Tunasikiliza upande mmoja wa Mungu kwa 7bu yeye ndiye njia ya ukweli. Kuhusu shetani kuasi Ni kweli kabisa na kwa kipindi hicho Nani angeliamini hayo lakini Yesu alithibitisha hilo kupitia mitume wake. Ulizeni jamani nitawajibu sisi Ni wa Mungu, shetani yake jehanamu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sasa Watanzania ndiyo tumekuwa soko la dunia la mataifa mengine

    Kipindi cha Corona wakati wengine wakiwa vizuizini na mipaka imefungwa ndo ulikuwa muda wa mapinduzi ya viwanda Tanzania. Lakini wawekezaji wa ndani walilala kipindi kimeisha ushindani uko juu Sasa.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona

    Harmonize tena kunanini jaman, konde boy huyu huyu mwana si wake kwel?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Kazi nzuri Sana..!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jina lake ni ngome imara

    Muda wa Christmas huu..!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wakimsubiri Mkombozi wao Lissu huko Kigoma

    We jamaa..! Utakuwa na siri nzito juu ya Serikal tudokolee kidogo plz
Back
Top Bottom