Kukusaidia tu iko hivi baada ya uonevu na kusahaulika kwa Gabo del Gado kwa mda mrefu Sana katika msumbiji hatimae gas ili vumbuliwa
Wakazi wa Gabo del Gado wakataka serikali isiwatambue na iendelee kuwasahau Kama ilivyokuwa mwanzo
Vijana wakajikusanya kupinga baadae wakaja watu wakaingiza udini ndio kikawa hiki unachokiona
Wanaofadhili ,jeshi la msumbiji liliwahi kusema kuwa Kuna watu wanne wawili ni wamozambique na wawili wanaishi Dar es salam Tanzania jiongeze
Umoja wa mataifa hujihusishi kwakuwa bado USA na uingereza hazina maslahi ya moja kwa moja na ukumbuke Mozambique ni Portuguese fone kwahiyo mwenye ushawishi ni ureno ambae hawezi push chochote Un