Wanyonge wakimsubiri Mkombozi wao Lissu huko Kigoma

Wanyonge wakimsubiri Mkombozi wao Lissu huko Kigoma

Malcom XX

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2020
Posts
470
Reaction score
950
CCM ndio chanzo cha umasikini kwa wananchi, Tuikatae 28 october 2020.

20200919_114728.jpg
 
Hivi ni kwa nn jamaa anapenda kuwaalika madikteta tu tena kipindi hiki cha uchaguzi?🤔🤔
Zaidi ya hilo nasikia museven asili yake ni mhutu..... 😒😒

Tuendelee kujiuliza pamoja👍👍
 
✌ ☑ Chadema
🖕✋CCM Mwaka Huu ndio mwisho wao hasa kwa vile hawakukimbiza Mwenge ,Mizimu yao imenuna mwaka huu
We jamaa..! Utakuwa na siri nzito juu ya Serikal tudokolee kidogo plz
 
CCM ndio chanzo cha umasikini kwa wananchi, Tuikatae 28 october 2020.

View attachment 1574110
CCM imetufikisha hapa. Lila baada ya miaka mitano wanakuja na ilani yao ya uchuguzi . Mwinyi alikuja na ilani ya miaka kumi, mkapa akaja na ilani ya miaka kumi,JK akaja na ilani ya miaka kumi ,JPM amemaliza ya miaka mitano. Ukijumlisha jumla ni miaka 35 wakija na vitabu vya njano. Sasa Kuna kitabu kingine Cha njano,ilani ya miaka mingine mitano jumla itakuwa miaka 40. Sasa tuelezane miaka 35 CCM imewasaidiaje wananchi wake ? Watanzania someni alana za nyakati CCM inawadanganya kila wakati na Sasa wameanza tena udanganyifu huo, na kujilimbixia madaraka Hadi kwa watoto wao.
 
[emoji111] [emoji819] Chadema
[emoji867][emoji113]CCM Mwaka Huu ndio mwisho wao hasa kwa vile hawakukimbiza Mwenge ,Mizimu yao imenuna mwaka huu
Dah umewapa na cha kati kabisa
 
Hivi ni kwa nn jamaa anapenda kuwaalika madikteta tu tena kipindi hiki cha uchaguzi?[emoji848][emoji848]
Zaidi ya hilo nasikia museven asili yake ni mhutu..... [emoji19][emoji19]

Tuendelee kujiuliza pamoja[emoji106][emoji106]
Ndugu hualikana penye shida
 
Ndugu hualikana penye shida
Ndio anaofanana nao kidamu na kimatendo.
Pili huyu jamaa katika siasa za kimataifa ni 0
Ameua kabisa uhusiano mwema na mataifa mengi duniani.
Haendi popote kajifungia Dodoma, Chato, Dar basi sana sana kaenda kenya na Rwanda.
 
CCM ndio chanzo cha umasikini kwa wananchi, Tuikatae 28 october 2020.

View attachment 1574110
Dogo maisha ni juhudi yako ww binafsi. Hakuna mwanasiasa atakayeweza kukupa utajiri hilo sahau. Huyo huyo mwanasiasa anatafuta maisha mazuri kupitia ww, fight hard kijana acha kulaza akili kwa kutegemea mwanasiasa..

Kwaakili yenu ya kudhani mwanasiasa atakukomboa tutawaoa sana, na mtajiita majina ya kike mpaka vinyeo vitoke nje
 
[emoji111] [emoji819] Chadema
[emoji867][emoji113]CCM Mwaka Huu ndio mwisho wao hasa kwa vile hawakukimbiza Mwenge ,Mizimu yao imenuna mwaka huu
Mwenge: hili nalo neno
 
Kwahy huyo mshikaji wako akiwa rais watanzania wote tutakuwa matajiri.?
 
Back
Top Bottom