Jina lake ni ngome imara

Wakili

JF-Expert Member
Jun 19, 2017
529
644
Mungu na Mfalme anayetawala dunia. Hakuna mzimu au Mungu mwingine zaidi yake, au mwenye nguvu ya kumshinda.
Free-download-wallpaper-Jesus-1024x576.jpg
 
Huyo mshikaji kuna movie flani hv mm nmehusika kama camera man nakumbuka alkuwa akinishauri mambo ya kiutu uzima sana.
 
Mungu na Mfalme anayetawala dunia. Hakuna mzimu au Mungu mwingine zaidi yake, au mwenye nguvu ya kumshinda.View attachment 1639571
HUYU NDIYE MUNGU? AKI LEO NAKUFA MAANA BIBLIA INASEMA "Huwezi kuuona uso wangu, kwa sababu hakuna mwanadamu anayeweza kuniona na aendelee kuishi.โ€ Kutoka 33:20
Bye bye JamiiForums leo ndo hivyo tena nakufa!
 
Back
Top Bottom