Recent content by Top for B

  1. Top for B

    JamiiForums Tanzania Bro to bro

    Unantishia mkuu usiku sahv
  2. Top for B

    JamiiForums Tanzania Bro to bro

    Sawa mkuu
  3. Top for B

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

  4. Top for B

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Sijui umeandika nini ila jinga kubwa wewe
  5. Top for B

    JamiiForums Tanzania Naomba mkopo wa tsh 20,000

    Changamoto hutaki kazi, wewe sema unauza kitobo bei gani
  6. Top for B

    JamiiForums Tanzania Naomba mkopo wa tsh 20,000

    Alete mgongo kwanza
  7. Top for B

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    Haiwezekani madereva wangapi hapo road wana bank account?
  8. Top for B

    JamiiForums Tanzania Naomben Msada Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Oya wazee kama kuna mtu anajuana na mtu aliyepo HELSB ampigie chapuo kijana alipiwe ada na HELSB
  9. Top for B

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Karibu mimi sijali jinsia wote naweka
  10. Top for B

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali alipotekwa nyumbani kwake akasema “CHADEMA wanajiteka, wameishiwa”, Mwanawe ametekwa kituo cha afya Nov 1 2025 mpaka leo hajulikai alipo

    Kwa akili za kawaida majeruhi lazima walikua wengi kuliko maiti ila majeruhi hawajaonekana hospitali Wameua watu wetu wazima wazima
  11. Top for B

    JamiiForums Tanzania RITA, Huduma Zafungwa Kisa "Kunyonyesha"

    Rita hakuna mirija, kwenye mirija lazima ukute kobazi
  12. Top for B

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Sio kwamba wanapendwa sana Mzazi siku zote hupenda mtoto anaeleta maokoto nyumbani Ila hao mnaosema watukutu, walevi, wezi tunaona wanapendwa na wazazi kwa sababu tunataka wachukiwe Ila kiuhalisia watoto kama hao jamii imekua ikiwatenga hivyo mzazi ndio pekee anayeweza kumsikiliza na hata...
Back
Top Bottom