Recent content by tonylast

  1. tonylast

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Huuu uzi ni wa PT lakini naona vijana wa TPDF wameuvamia anyway endeleeni na mjadala[emoji16][emoji16]wakati tunasubiri PDF.
  2. tonylast

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Simu ya nin mkuuu,fafanua kidogo.
  3. tonylast

    Sababu mbili kwanini bado upo single

    Huu uzi ni mzuri ungependeza zaid pale kwenye jukwaa la mahusiano.
  4. tonylast

    Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    Always be a man and stand back your ground,wanawake ni muhimu kwa mwanaume lakini usiwaweke mbele zaidi,fanya kazi kwa bidii tafuta pesa na si kwa ajili ya wanawake ni kwa ajili ya maisha yako.
  5. tonylast

    Naomba msaada wa tatizo la mwili kufa ganzi

    Shukraan mkuu kwa mawazo mazuri.
  6. tonylast

    Naomba msaada wa tatizo la mwili kufa ganzi

    Habarini Wana JF. Naomba msaada kuna ndugu yangu anasumbiliwa na ganzi hasa mikononi miguuni. Na mara inamtokea wakati wa usiku, na wakati mwingine inaambatana na maumivu ya kichwa. Hali hiyo imemtokea baada ya kuhama mkoa na ameenda hospital kachek pressure iko vizuri Kapewa dawa za vitamin...
  7. tonylast

    Namna ya kuwa high value man (Mwanaume wa thamani)

    Ukiishi katika principle hizo kila jambo utafanikisha kwa urahisi haijalishi muda gan itachukua..ni kweli maisha ya mwanaume anahitaji zaidi pesa.
  8. tonylast

    Namna ya kuwa high value man (Mwanaume wa thamani)

    Ujumbe mzuri, tumeupokea na utafanyiwa kazi
  9. tonylast

    Naomba kuelimishwa kuhusu uhamisho wa mwanafunzi NACTE march 2022

    Kuhama kati ya semist hua si rahic,lakini pia matokeo kua confirmed inategemeana na system zao nacte..wakat mwngine hua inachelewa kua confirmed..uhamisho mwisho wa unakuwa ni rahisi kwa sababu hata deadline yake inakua ndefu..nafkiri sahivi dirisha wamefunga tayari.
  10. tonylast

    Nataka kuivaa suruali niliyoiacha kwa miaka 10

    [emoji16][emoji16][emoji16]bia tamu chief.
  11. tonylast

    Ushauri wa mazoezi na diet

    Wanasema "body bulding is journey" ili kuhakikisha una maintain uzito inahitaji muda hasa kwa wale wanene kupitiliza..lakn kuna key principle ambazo unaweza kutembea nazo ili kuhakikisha unakua na mwonekano wa kawaid a yan mediam kama wengi wanavyopenda,vyakula vya viwandan kama soda,biscut na...
Back
Top Bottom