Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,317
- 7,467
mwalimu wako na wangu nadhani ni mwalimu mmoja.acha kula wanga kabisa na sukari kwa mwezi mzima mazoei kidogo tu sio yale ya kujichoshaaa, utanishukuru baadae.
mimi nilianza rasmi diet may 2021. kufikia October nikapungua 15kg. nipo na maintain nao. nilikuwa 104kg sasa 89kg. niataanza tena baadae.target 80kg
kula proten za wanyama kula mpaka ushibe(nyama aina zote mradi inaliwa na binadamu)
nuts za kwenye miti (korosho etc)
mayai
samaki kula mpaka ushibe
mboga za majani zinazoota juu(cabbage, mchicha, spinachi na nyinginezo) kula mpaka ushibe
boga
matunda ni parachichi na tango tu. usile yale yenye sukari sijui Maembe mananasi,
kunywa maji
mazoezi kidogo uwe fit please consistency ni muhimu
nakutakia mema
keep it going