Naomba msaada wa tatizo la mwili kufa ganzi

tonylast

Member
Jun 26, 2019
70
46
Habarini Wana JF.

Naomba msaada kuna ndugu yangu anasumbiliwa na ganzi hasa mikononi miguuni.

Na mara inamtokea wakati wa usiku, na wakati mwingine inaambatana na maumivu ya kichwa.

Hali hiyo imemtokea baada ya kuhama mkoa na ameenda hospital kachek pressure iko vizuri

Kapewa dawa za vitamin B complex
Lakin hali bado hali inaendelea.
Kwa mwenye uzoefu na Tatizo hili naomba msaada tafadhali.
 
Kwanza usimsingizie ndugu weka wazi ni wewe upate msaada Mkuu

Pili, Ilo ni tatizo la Neva(Mishipa ya fahamu) kitaalamu Peripheral Neuropath mara nyingi inaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwemo Kazi nzito, kukaa sana bila kunyoosha viungozkukosa mazoezi, Unene, Sukari, Sigara na baridi la vigae

ukweli ni kwamba tatzo ili halina Tiba mbadala isipokua utapewa tu dawa za vitamin B kwasababu Mishipa ya Neva imeundwa kwa Vitamin izo ila kuna mambo anaweza kufanya ili kucombat tatizo ilo mfano kuna tiba inaitwa Thermotherapy atafte vitanda vinaitwa Ceragem V3 bed unalala vinakufanyia massage pia kuna Massage gun pia mazoezi n.k
 
Shukraan mkuu kwa mawazo mazuri.

Mpeleke kwa Mwamposa litaisha chap haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom