Exactly ni bush hatari kuna sehem hurusiwi kwenda na pikipiki mpaka gari hiyo sehem ina nyoka hatari nafikir ni hifadhi ya nyoka [emoji3][emoji2]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hujafika alipopataja wewe,tena hiyo guest aliyotaja elf 12 ni nafuu mi nilienda lodge ilikuwa 15 na hakuna kupunguziwa na hakuna vyumba vya kupanga,huko inyonga paskie tu kuna sehem hata huwatumii simu wanatumiana barua na gari iko moja tu inaondoka asbh na kurud jion. Mtoa mada nimemwelewa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.