Nina shahada ya Sheria, naomba ajira

Pole ndugu yangu utapata tu kibarua ila umenikosesha raha sana nataka ni apply sheria nikiona matangazo ya wanaJF wanaomba ajira la wanasheria wananikatisha tamaa ya kuapply sheria
 
Habari za saizi watanzania wenzangu.
mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nilisoma shahada ya sheria (Bachelor of Laws) leo nimekuja mbele zenu kwa lengo la kutafuta kazi, ajira, kibarua n.k kazi yoyote ile nipo tayari kuifanya kwa ajili ya kuniingizia kipato cha kila siku na mkono uende kinywani maana kwa sasa naanza kua na majukumu. sasa nipo dar es salaam, Ubungo
natanguliza shukran za dhati kwenu

kwa mawasiliano
0748310139
0786660931
christophervedastus@gmail.com
Mungu akusimamie
 
Tafuta sehemu uanze kwa kujitolea,ili uonekane.hasa mashirika yale yanayotoa misaada ya kisheria kwa watu.
 
mambo vp ndungu yangu, unaikumbuka hii reply kwenye ile post yangu ya kuomba kazi?, namshukuru Mungu kwa neema zake juu yangu maana nina miezi miwili kazini, namshukuru Mungu kuniwezesha kiziishi sehemu ya ndoto zangu maana kazi niliyoipata inahusiana na sheria katika kampuni fulani kubwa nchini ya mawakili, usikate tamaa kwenye kitu unachokipenda
Siwez pata kazi ata ya kufanya usafi apo ofisini
 
mambo vp ndungu yangu, unaikumbuka hii reply kwenye ile post yangu ya kuomba kazi?, namshukuru Mungu kwa neema zake juu yangu maana nina miezi miwili kazini, namshukuru Mungu kuniwezesha kiziishi sehemu ya ndoto zangu maana kazi niliyoipata inahusiana na sheria katika kampuni fulani kubwa nchini ya mawakili, usikate tamaa kwenye kitu unachokipenda
Ukipata nafasi utukumbuke na sisi maana bado bils bila kwenye kada hio hio mkuu
 
hapa nilikuja kuomba kama ninaweza kupata shughuli yoyote tu ya kufanya, ila kutoboa ilinibidi nitoge nyumbani niende kutafuta, nilipita maofisi mengi sna
Nilimaanisha kwenye pepa la Law School ulipita straight au ulikumbana na kashkash kama wale wa juzi kati(mwaka jana)?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom