Recent content by TONJA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa kiume SAUT afanyiwa Operation.

    Si angienda kumaliza kazi kwa machangudoa, ili ajipoze au akupata wa kumshauri
  2. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliosoma Havard

    kuna watu wasoma ud, nao vp tuwataje?
  3. T

    JamiiForums Tanzania sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    Mh! pole, ngoja washaur wengne wapite kwanza, mi nakuja ku conclude 2.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

    mh! hapa sasa tukushauri nini, kutamani kwenyewe dhambi tayari..., kama unataka ushaur nenda kwa padr wako sio um JF
  5. T

    JamiiForums Tanzania PITIA KWANZA HAPA...........ujifunze

    Hata mi nilijua tu umetungaa...., maana uko mwananyamala ndio viwanja vyangu sijawai kumsikia Irene. Ila ASANTE Umenifumbua macho
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Unapanga harusi hata Mtu mwenyewe ajui kama unamtaka....., Una pepo wewe
  7. T

    JamiiForums Tanzania wanaume mnaniudhi sana hizo nyege zenu muwe mnagonga kwenye jiwe wakati mwingine zitoke!

    kwani ukitongozwa lazima ukubari Ney maa!..., Mpaka mwanamme anafanya mapenzi ujue kuna ke imekubali ku-do,.....Naongopaaa
  8. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI:Nimepiga ila bado anazingua

    Huyo dada kwa kweli hana mtu...., ndio maana akamjaribu jamaa kama yupo vizuri kunako 6 x 6. Damu kaona jamaa kachemka atomvumilia katika ndoa, vizuri dada umemsaidia kijana mweze2. Ukisikia mchezaji kaenda uingereza kujaribiwa soka la EPL ila kachindwa amerudishwa bongo...Ndio huyo jamaa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wanawake wa JF

    mi itabidi nianze kuwacliana na lady doctor ili niprove post yako, then wengne watafuata mpaka wote waishe! haya lady doctor jimwage na communication kwangu, we ndio wa kwanza
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Mnaomfahamu: Nimemzimikia ile Mbaya. Nikijitupa Nitaumia? Nipeni ukweli.

    we kama upo serious jidondoshe kwenye 18 upate penalt, utakuta kumbe kamongo tu uliza bei usiogope, akikutosa sio kec
  11. T

    JamiiForums Tanzania ingekuwa wewe ungefanyaje

    Kusema ukweli huyo wa kwanza ujampenda bana,...., unasingizia umbali tu,..... unayempenda uwezi kufanya vituko ili muachane, ulikuwa unasogezea nae semester kipindi upo chuo. Ninakusisi usimkaribie tena utamualibia maisha. coz upendo wa kweli huna kwa uyo uliyemuita wa mbali. Na tamaa mbaya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wanawake wakibongo hupenda wanaume wasumbufu?

    Wapo wanawake wanaopenda luv style yako ila ujakutana nao na hata ukikutana nao unawaonaga washamba na sio type yako, ndicho kinachotusumbua wakaka na wadada....., tunapopendwa atupaonagi siku zote......, hata mimi nilishawai kupenda mdada nikajuuuuuuta.. kumfahamu, Nikakaa chini na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania VIJANA WATCHOUT:babu na baba zetu walipenda STAREHE wakasahau MAENDELEO

    thank you! ULICHOONGE CHA MSINGI
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii kaliii balaa

    mmh!!!!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kutoa: Akiwa pembeni ya kitanda alicholalia baba yake.

    hilo funzo....
Back
Top Bottom