PITIA KWANZA HAPA...........ujifunze

PITIA KWANZA HAPA...........ujifunze

Yaani unampa mwenzio zawadi ya pupu wakati yeye ametoa elimu kwa sisi tunaofakamia kwa kuangalia umbo la mtu??? Tujifunze kuwa ARV ni silent killer. Mtu unamuona mnene ndani ya koti na VX kumbe kesho ni marehemu!!! Utasikia tu alipata pneumonia kawekewa Oxygen na siku mbili akatoweka duniani. Utakuta mama au binti ana wowowo ya kufa mtu ila ukiuliza kwa pembeni utasikia Bwana wake au mume wake alikufa miaka 2000 kwa ngoma!!!! Aise kipimo cha VCT au hospital ndiyo salama yako na yangu tu hakuna kipimo cha macho.

Cc: watu8
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaweza sana tunga story kawaokoe wasanii wa filamu wa kibongo manake toka kanumba atangulie mbele ya haki story ni za kitoto xana story yako imesimama mbaya mtafute mtitu!
 
Hata mi nilijua tu umetungaa...., maana uko mwananyamala ndio viwanja vyangu sijawai kumsikia Irene. Ila ASANTE Umenifumbua macho
 
Aaagh! Afu ukimwi bhana! Sehemu zote za kukaa haujapaona ila kwenye mbunye!!!!!
Hii si bure!
Na Ukimwi ni Adhabu sio maradhi!
Kwanini usipatikane katika miti, majabali or baharini??????

nimecheka jaman cna mbavu mtt wa watu!!!!!
 
duuuuu! hiyo zawadi mkuu mbona kama siielewielewi vile

Tehe tehe tehe teheTehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe teheTehe tehe tehe teheTehe tehe tehe teheTehe tehe tehe tehe,mbavu sasa hivi zinaniuma maana nimecheka sana
 
sijasoma.
Nimeishia heading tu.
Mwandiko wako mbaya, hakuna punctuation wala naniliu.
maneno yamejazana kama mechi ya simba na libolo uwanja wa taifa
 
Back
Top Bottom