Recent content by tonge nyama

  1. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    Kwani umesahau kuwa dunia ni duara mkuu? Pole sana
  2. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

    Acha us. enge dogo, huyo mtangulizi ulimnyoa wapi wakati wewe ndio uliyenyolewa. Labda useme wembe aliokunyolea mtangulizi ndio huo huo mama atakunyoa
  3. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Tatizo linaweza kuwa moja au zaidi ya yafuatayo 1. Horse pipe(s) hazija seal vizuri. A za kuangalia kale kapipe kanakounganisha rejeta ha reserve tank. Pia kuna kapipe ndani ya reserve tank kanaweza kuwa kamelegea. 2. Mfuniko wa rejeta hauseal vizuri 3. Rejeta inavujisha. Inaweza kuwa kuna...
  4. tonge nyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

    Manyang’au yamepoteana kwenye huu uzi
  5. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Utabiri hali ya hewa mnasubiri nini kutuambia hali ya mvua ya vuli mwaka huu?

    Mvua za vuli zinaanzaga kati ya septemba na oktoba kanda ya ziwa na utabiri wanatoaga mwezi wa nane so subiri au wapigie namba zao zipo kwemye website. Hata hivyo kuna utabiri wa kila mwezi, kila siku kumi, kila siku tano na kila siku tunawaona kwenye tv acha ulalamishi.
  6. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Rais Trump ataka Makanisa, Misikiti na Masinagogi vifunguliwe

    Kwani da mange na mwamba tuvushe wanasemaje Sent using Jamii Forums mobile app
  7. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira ya sasa,je Tanzania Metereological Agency(TMA) bado ni relevant?

    Mheshimiwa jielimishe kidogo.. hao weather channel na hizo app zingine wanapata wapi initial condition data.. wana Kituo cha kupimia hali ya hewa hapa nchini? Utabiri wao umekusaidiaje kwa kilimo wakati hawatoi utabiri wa msimu. Mwisho wao mara nyingi ni siku 7 hadi 10. Utabiri wa siku 10...
  8. tonge nyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Buriani Bandari ya Mombasa, Sisi Tulikupenda Wachina Wamekupenda Zaidi

    Hakuna nyang’au utakayemuona hapa
  9. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Kwa yoyote anayehusika- vita na mashoga ni kushindwa tu kabla hata haijaanza.

    @baba_kaegan njoo toroli jingine hili huku
  10. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atamani Bunge lifute sheria za ovyo

    Bila shaka I’m the first to reply. Ahsante
  11. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kujisifu kuwa na wanawake wengi ni ushamba tu kama ushamba mwingine

    Ukiona manyoya ujue keshaliwa
  12. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Serikali ya W/chato wanyang'anya Ardhi ya Kilimo ekari 1000 wananchi wa Chato na Nyakakarango

    Umeandika kishangingi bila shaka ni pumba tu isiyo na ushahidi wa aina yeyote
  13. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joshua Nassari acha kuhadaa watu na tukio feki la kuvamiwa

    Kila mwenye akili timamu alijua lile ni igizo tu halina tofauti yeyote na futuhi
  14. tonge nyama

    JamiiForums Tanzania Mozilla Firefox haifanyi kazi

    Wameshairekebisha masaa machache yaliyopita. Ilikuwa ni tatizo la dunia nzima sasahivi iko poa
Back
Top Bottom