Mozilla Firefox haifanyi kazi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
22,760
2,000
Wataalamu nisaidieni. Mozilla browser haifanyi kazi. Nadhani ime-crush. Nimejaribu ku install upya inaleta pop message kuwa Your Mozilla Fire Fox profile is unavailable or not accessible...
Ukiwasha profile haiji, muonekano wa screen hauko kama ilivyokuwa zamani.
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,404
2,000
Chief-Mkwawa simu ina tatizo nikiweka simcard ya halotel inasoma vizuri lakini nikiweka za voda zinakataa kusoma kabisa nimejaribu simcard zaidi ya moja za voda hazisomi ni samsung galaxy S4
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,154
2,000
ni ya pc,, nimetoa ya zamani kabla ya ku install mpya
mkuu kama umetoa ya zamani, kuna uwezekano na bookmarks zako zimeondoka, uliwahi kuzi backup online na account ya firefox?.

kwa sasa hivi jaribu kuitoa hiyo firefox kwa kufanya full unistall, tumia program kama iobit uninstaller halafu eka upya tena hio firefox. vyema udownload latest version toka site yao.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
22,760
2,000
mkuu kama umetoa ya zamani, kuna uwezekano na bookmarks zako zimeondoka, uliwahi kuzi backup online na account ya firefox?.

kwa sasa hivi jaribu kuitoa hiyo firefox kwa kufanya full unistall, tumia program kama iobit uninstaller halafu eka upya tena hio firefox. vyema udownload latest version toka site yao.
Asante ngoja nijaribu
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,133
2,000
Sijui kama itafanya kazi hii
Tumia moziila firefix itaifix firefox.

Mashart usiwe na kibamia ndio inadetect.
Teh teh

Mmenuna kama na nyie mmezingirwa na general chiwanga na wenzie.
 
tonge nyama

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
374
500
Wataalamu nisaidieni. Mozilla browser haifanyi kazi. Nadhani ime-crush. Nimejaribu ku install upya inaleta pop message kuwa Your Mozilla Fire Fox profile is unavailable or not accessible...
Ukiwasha profile haiji, muonekano wa screen hauko kama ilivyokuwa zamani.
Wameshairekebisha masaa machache yaliyopita. Ilikuwa ni tatizo la dunia nzima sasahivi iko poa
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
22,760
2,000
Sijui kama itafanya kazi hii
Tumia moziila firefix itaifix firefox.

Mashart usiwe na kibamia ndio inadetect.
Teh teh

Mmenuna kama na nyie mmezingirwa na general chiwanga na wenzie.
utani mwingine hafai kwenye shida please
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,154
2,000
chief eti ni kweli kuna mwenzetu hapa amesema eti ilikuwa na tatizo dunia nzima na sasa wamerekebisha. Is that possible
kuna uwezekano mkubwa anazingua, sababu firefox sio website, ni browser. na kazi ya browser ni kuturahisishia tu hizo website kwa maandishi na mapicha, ni ngumu browser iende offline, unless ni server based browser kama operamini na ucweb mini.
 
Top Bottom