Kwa yoyote anayehusika- vita na mashoga ni kushindwa tu kabla hata haijaanza.

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Tuseme labda ni kutafuta umaarufu nchini au ulevi tu wa madaraka ndo unapelekea mtu kudhalilisha watu wengine kwa kukurupukia mambo tofauti tofauti kila kukicha.
Vita ya mashoga mtu aliyoianza ni ameshindwa kabla ya vita yenyewe hata haijaanza au labda imeanza, mwisho wa siku atawadhalilisha watu kama alivyofanya huko nyuma alivyowahi kukurupuka mambo fulani fulani, kweli huyu jamaa ni Zero brain kama mtu mmoja alivyowahi sema huko nyuma.
Sisemi hivi kwa kumwonea bali nina sababu kadhaa za kusema vita itamshinda na huyu jama kweli ni zero brain.
  • Katika masuala haya ya kujamiiana jinsia moja kwa wanaume huitwa mashoga na wanawake huitwa wasagaji, pia mwanaume anayeingiliwa huitwa msenge na mwanaume huitwa basha, sasa basi chimbuko la mambo haya ambalo muanzisha vita fulani halijui ni kwamba wengi husukumwa na maumbile na siyo hiari yao na mala nyingi vinara wa suala hili la ushoga ni WASENGE wenyewe, kwa sababu za kimaumbile wasenge wengi huwa na hormone nyingi za kike na wengi ni watu wenye uwezo, kuwa na chachu nyingi za kike(hormone) huwasukuma kuanza tabia ya kuingiliwa(nitatumia lugha ya staha kidogo). Wengi wa wasenge huwa ni watu wenye uwezo na hufanya hivyo si kwa nia ya kupata kipato bali husukumwa na maumbile, katika hili nitatoa mifano kadhaa kwa lugha ya staha na si kudhalilisha kama zero brain anavyofanya.
  • Kuna mwanamziki aliyeimba wimbo wa the scrifice huyu alitangazia ulimwengu kwamba yeye ni shoga na aliiacha familia yake akaenda kuolewa
  • Pia kuna yule askofu wa Yorkshare alitangazia ulimwengu kwamba yeye ni shoga.
  • Kwa majibu rahisi rahisi ya zero brain atasema hao ni wazungu hatuwezi kuiga tabia zao, kama ni hivyo nitamrudisha nyumbani kwa wale wahenga walikuwepo wacheza mpira mahili hapa nchini siku za nyuma moja akiitwa Fulani director na mwingine aliitwa Fulani junior au Fulani mtoto, huyu director alikuwa ndiye mkubwa alikuwa mwanajeshi na huyu mtoto au junior alikuwa Polisi idara ya Uhamiaji na baadae akawa mkurugunzi wa UHAMIAJI, sasa huyu wa pili alikuwa ni shoga kwa bahati mbaya alijulikana kwa kupigwa hadi picha akifanya shughuri hizo na baadae ikapelekea KUJIUWA au kwa kunywa sumu au kujichoma moto bafuni.
Sasa zero brain hebu atuambie ni nani kati ya hawa anafanya mambo ya ushoga kwa nia ya kupata kipato?
  • Ushoga ni vitendo vya siri havifanyiki hadharani ni sawa na rushwa vyote ni vitendo vya siri sasa baada ya zero brain kuanza crackdown wa mashoga kwa eti kuwapa wanajamii wawataje ina maana baada ya mashoga tena ataanza vita ya watoa rushwa au wapokea rushwa kwa kuomba jamii iwataje kwa simu? Kama unavyoona rushwa ilivyokuwa ngumu kuithibitisha mahamani basi na ushoga ni hovyo hivyo, zero brain aelewe kwamba mwisho wa suala hili ni kudhallilisha watu tu kama alivyoisha fanya huko nyuma na kamwe hashindi kesi hata moja mahakamani.
  • Ili kufanikiwa mradi fulani ni lazima ushirikiano na sekta zingine, au mamlaka tafauti zishirikiane ili kufanikisha lengo fulani, sasa zero brain yeye hukurupuka tu bila kushirikisha sekta zingine, sekta zingine husika huona tu jambo liko hewani basi huwa zinabaki zinataharuki. Mfano hai ile crackdown wa watu waliotelekeza watoto au watu ambao walikuwa hawatunzi watoto na wenzi waliozaa nao sasa zero brain baada ya kutangaza wafike ofini kwake iliyo mahala fulani zaidi ya wakina mama 1000 walifika, na kweli wenzi wao aliwaita kwa kutumia madaraka yake hayo anayoyatumia hovyo, wengi walikataa kwamba watoto siyo wao ikafika sasa suala la kudhibitisha kwa kutumia kipimo cha DNA, Kipimo hicho ni mamlaka ingine na kina utaratibu wake wa kisheria,kufika hapo vita ikaisha hadi leo . Na mbaya kuliko zote wanawake wakawataja watu maarufu na ambao kulikuwa hakuna ushahidi wowote bali ni kuwasingizia tu na kuwavunjia heshima ikabidi mamlaka ingine itoe ufafanuzi kwamba akina mama hasa yule wa kigamboni kasema uwongo na wizara ya afya ikatoa ufafanuzi kuhusu kipimo cha DNA. Zoezi likaishia hapo.
  • Pia zoezi la wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya, Zero brain alikurupuka kwa kuanza kutaja watu hovyo wengine aliowataja hawana kabisa histolia ya utumiaji wa dawa za kulevya bali makuzi yao ni uchezeshaji wa disko tu na wengine kwenda mahakamani wakashinda. Zoezi hili lilikuja kufanikiwa baada ya MKUBWA kuboresha mbinu kwa kuchagua kamishina wa kimasai mwenye maadili alishughulikie ndo mafanikio tunayoyaona hadi leo lakini yeye zero brain alikurupuka na kuanza kuwataja watu kwa kuwadhalilisha na cha kushangaza wale wote waliokuwa wakitajwatajwa aliwaacha sijui kwa kuwa wako chama kimoja.
  • Wakati zero brain anatangaza vita dhidi ya mashoga alikaliliwa akisema wanaopinga vita hii wawachukue mashoga wakae nao, kama je ni watoto wao watakubali wawe mashoga? Kitu ambacho zero brain hakijui ni kwamba mashoga wengi ni wazazi wenyewe na wahanga ni watoto ama kwa kuwahonga hela nyingi wawatimizie haja yao na wawatunzie siri, watoto wanakuwa wahanga(Mabasha) au kwa nia ya kupata kipato au kwa makundi rika.
Sasa nimalizie kwamba hili suala la ushoga hata mwenyezi mungu aliwahi kupambana nalo kwa kutumia nguvu nyingi zilizopelekea kuteketeza watu waliokuwepo enzi hizo duniani lakini mwisho wa siku aliahidi hato rudia tena kufanya hivyo bali atamhukumu mtu mmoja mmoja. USHOGA ni chukizo kwa mwenyezi mungu na mashoga watakwenda kukuta hesabu za matendo hayo mabaya siku ya hukumu. WEWE ZERO BRAIN HILI SUALA HULIWEZI TENA HULIWEZI KABISAAA. Ili kushinda vita hii inabidi uwahamasishe vijana ambo hurubuniwa na wasenge kwa kuhongwa hela nyingi weweze kuchangamkia fursa zilizopo za kujiongezea kipato hali waweze kujiweza kiuchumi na kuacha kutegemea vyonzo vya mapato amavyo siyo halali.
 
Wale waliopimwa DNA baada ya kutelekeza watoto majibu hayajatoka? Vipi wale waliotelekezwa wameshapatiwa zile bima za afya walizoahidiwa? Nauliza tu nipate kujua.
 
Usanii mtupu hakuna chochote hapo.Tusubiri mashoga wangapi watashtakiwa na kufungwa otherwise ni propaganda as usual
 
Kama nakuona ulivyokuwa unaandika huku umekunja ndita, ila nimekuelewa sana mkuu....hili swala ni gumu sana jamaa ni #Kiki tu anatafuta
 
Nchi inapwaya.
  • Tulianza kusikia walimu wa Dar kusafiri kwenye daldala ni bure, lakini konda anavyo wakolomea waalimu mpaka inauma, aliyeanzisha hiyo hakuikamilisha.
  • Ikaja ya madawa ya kulevya sijui iliko ishia
  • Ikaja ya wanaume waliotelekeza wake, yaani kuzaa na kuacha nako hatujui iliko ishia
  • ikaja swala la usafi, mgambo wakawa wanatembeza mkongoto sijui nayo ilipo kwa hivi sasa.
  • Sasa mashoga hiyoooo!! Ila sijajua kama kweli hizi kazi ni za mkuu wa mkoa.
Hivi hiki cheo cha mkuu wa mkoa kikifutwa nchi ina la kupoteza? naona hizi hela za kuwalipa wakuu wa mikoa zingeongezwa kwenye mishahara ya waalimu.
 
hivi tezi dume iliishaje.?
hata hili la ushoga litaisha kama la tezi dume.
 
Wanajamii wanawajua mashoga kwa mfano jijini Arusha nani asiyemjua "Ally shoga"?
Pia kwa vipimo shoga anatambulika kwa hiyo mtu akitajwa na akaenda kupimwa itajulikana tu kama ni kweli au sio kweli
Nina uhakika mashoga watakao shughulikiwa ni wale waliotajwa mara nyingi, kwa mfano mtu katajwa na watu 70 tofauti kwa nini asichunguzwe?
 
Hizi vita ni sawa, ila inatakiwa ufanye kama na vita ya msituni, usitangaze majeruhi wala vifo , si atumie utaratibu wa kuwateka na kuwapoteza tu kwani wapo wangapi?! anachofanya ni kuwapa international promo tu. Makonda akumbuke yaliyomkuta mseven alipotaka kupitisha sheria ya kupinga ushoga pale UGANDA,....!
 
Back
Top Bottom