Recent content by Tokomeza Zero

  1. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

    Pole sana
  2. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

    Vepeeee limepatikana?
  3. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Yanga wameliingiza jina la Morison katika mfumo wa usajili

    Yale MAJIBU ya point 3 za KAGERA mlishayapata?
  4. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata Afrika Kusini nao pia wana 'Wasomi Mapopoma' tu kama wanaopatikana kwa Wingi Mitaa ile ya Twiga na Jangwani?

    Usikute uko busy kudiscuss maisha ya SENZO huku familia yako ikiwa haijui kesho itakula nini! FOCUS na maisha yako..... Yasiyokuhusu ACHANA NAYO.
  5. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

    Sometimes sio mbaya kuficha UJINGA ulionao! Yanga ndio timu ya kwanza kuadhimisha siku yake ya kuanzishwa na ili kuonesha kuwa ni timu ya Ushindani iliwaalika Asante Kotoko miongo kadhaa iliyopita.... SIJUI NANI kamuiga MWENZAKE
  6. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Re-Entry policy ambayo iliasisiwa na mheshimiwa Kikwete na kufanyiwa tafiti za kutosha kwenye nchi zinazopractice imeishia kwenye makabrasha huko wizarani, Pamoja na kwamba mabilioni ya walipa kodi yalitumika ili kufanikisha sera nini kimefanyika? Labda ningeona unaongea unachokijua kama...
  7. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Mwakyembe huyu huyu aliyeikana Thesis yake ambayo ilimpa hiyo PhD? Au unamzungumzia nani labda?
  8. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Mashine mpya ya kukata nyama na samaki

    Habari wadau, Nina shida ya kupata mashine ya kukata nyama na Samaki kwaajili ya butcher yangu. Mashine inaweza kuwa used or mpya itanifaa tu. Anayeuza tafadhali anijuze ili tufanye biashara. Asanteni
  9. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ndege za Serikali

    Akijaribu kufanya hivi yatamkuta yale ya Mkulima wa Namibia
  10. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ndege za Serikali

    Wazo la kuimarisha usafiri wa anga halikuwa baya sana, ila nafikiri watawala wangewekeza kwenye ndege ambazo zingerahisisha usafiri wa ndani, usafiri ambao ungewezesha accessibilty kwenye maeneo yote so hata investment ya ndege isingekuwa kwenye Ma Airbus or MaBoieng ya bei mbaya. Na kama focus...
  11. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza TBC yatangaza mkutano wa CHADEMA

    Aiseeeee wewe uliyejimilikisha simu ya Pascal tafadhali Mrudishie mwenyewe
  12. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Acha uongo wewe! Mpaka 2015 kulikuwa na hospital, vituo vya afya na zahanati zipatazo 5000+ nchini. Hizo takwimu zako umeziokoteza wapi?
  13. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Benard Membe hajaenda kwenye kilele cha mbio za Mwenge

    JF imevamiwa kwa kweli! Haya ni mawazo ya kifacebook facebook
  14. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Katika zama hizi za nunua huyu leta kwetu mhonge nafasi ya uongozi na mamilioni ya shilingi! Chaguzi ambazo Mtu kashasema nimekuteua mimi nakupa gari, nakupa mafuta na kukulipa mshahara halafu umtangaze mpinzani kashinda! Chaguzi ambazo chama tawala kinafanya kampeni kila uchwao kwa mgongo wa...
  15. Tokomeza Zero

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

    Bila shaka ushawaza apartment maeneo ya Mbezi beach, kununua Toyota Brevis/Mark X na demu mkali kama Rihana!
Back
Top Bottom