Recent content by Tokez

  1. Tokez

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Nimekuelewa vizuri now
  2. Tokez

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Msingi WA Sheria katika uislamu ni 1. Qur an 2. Hadith Kwahiyo kuna mambo ambayo yapo direct kwenye Qur an na mengine yanapatikana kwenye Hadith. Pia kumbuka katika kila muktadha wa elimu kuna wabobovu wa elimu husika.Kwa mtazamo wangu si busara kuita wasomi wabobovu watoa porojo kwani katika...
  3. Tokez

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    JE, NINI HUKUMU KWA WANAWAKE KWENDA KUZIKA Nimeulizwa kuhusu kujuzu au kutokujuzu kwa wanawake kusindikiza jeneza, NANUKUU:- Alhabib naomba kuuliza. Nini hukumu ya wanawake kwenda kuzika? Asante! JIBU BISMILLAH Wanawake, kimsingi, wanakatazwa kwenda kuzika, isipo kuwa ikitokea dharura...
  4. Tokez

    JamiiForums Tanzania Dedication aka Dedix

    1. This i promise you 2. From this moment
  5. Tokez

    JamiiForums Tanzania Tunakidisha TV kwaajili ya sherehe mbalimbali

    Habari zenu wakuu! Tunakodisha Tv na vifaa vya video production kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama harusi,send off na nyinginezo.Tupo Ubungo Dar es Salaam. Nyote mnakaribishwa Kwa mawasiliano zaidi piga 0714400422 Au 0687123813 Ahsante!
  6. Tokez

    JamiiForums Tanzania Msaada wa platform ya kuinvest (Investment)

    Hii inafanyaje kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Tokez

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu kupata TIN number ya kampuni na kufungua account ya kampuni bank

    Naona private text zinagoma kuja kwako sijui tatizo nn
  8. Tokez

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu kupata TIN number ya kampuni na kufungua account ya kampuni bank

    Habari za weekend! Nina kampuni yangu nimefungua tangu mwaka 2017 lakini nilishindwa kumalizia process za kupata TIN NO. na leseni ya biashara so naomba msaada kwa anayefahamu ni vitu gani vinahitajika ili kukamilisha zoezi hili? Aina ya kampuni ni limited na tupo directors wawili ila jamaa...
  9. Tokez

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana nae

    Natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje dar es salaam mimi niende morogoro. Kada elimu sekondari Nipo wilaya ya Ubungo Kama yeye atakuwa wilaya ya mvomero itakuwa poa ndio wilaya ninayotaka. Mawasiliano ni 0714400422
  10. Tokez

    JamiiForums Tanzania Nakodisha projector

    Nipo dar es salaam
  11. Tokez

    JamiiForums Tanzania Nakodisha projector

    Nakodisha projector aina ya Acer bei tsh 50,000/= kwa siku.Kwa mawasiliano piga simu namba 0714400422.Karibuni wote.
  12. Tokez

    JamiiForums Tanzania Wale wa miaka ileeee!!

    Dah!Sitasahau hadithi ya Bint chura kila jumamosi saa nane mchana,natamani wairudie niiaikie tena ilikuwa kama sio 1991 basi 1992 RTD kipindi cha mama na mwana mtangazaji nimemsahau
  13. Tokez

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme vinapatikana

    Karibu sana
Back
Top Bottom