Tunakidisha TV kwaajili ya sherehe mbalimbali

Tunakidisha TV kwaajili ya sherehe mbalimbali

Tokez

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
72
Reaction score
29
Habari zenu wakuu!

Tunakodisha Tv na vifaa vya video production kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama harusi,send off na nyinginezo.Tupo Ubungo Dar es Salaam.

Nyote mnakaribishwa

Kwa mawasiliano zaidi piga
0714400422
Au
0687123813

Ahsante!
 
Unamaanisha nikihitaji hivyo vifaa nakodi na kuoperate mwenyewe au kuna mtu wenu nakua nae location?
Pia, nitajie bei ya kukodi hivyo vifaa.
 
Back
Top Bottom