Recent content by togetherTight

  1. T

    JamiiForums Tanzania TUKUTANE 2025

    Nafurahishwa na mitizamo na pani zilizonazo kambi mbili tofauti zinazotunishiana vifua kuhusiana na kuukubali au kutokuukubali uongozi wa Mwendazake John Joseph Pombe Magufuli. Nafurahi kwamba kuna ustahimilifu mkubwa baina ya kambi hizi mbili bila kusababishiana madhara japo yapo kidogo. Kwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    Wewe ni wakala wa shetwani, una laana kali sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

    Alikuwa akinichanganya sana, maana kazi ilikuwa inapigwa kweli kweli, na akibutua anabutua kwelikweli. Kama hii ya pensi duuh 😆 mbele ya wazee, kujisifia na kutaka attension viliharibu status yake. Bashiru alikuwa anamkunja lkn mbishii, nilishuhudia kny ibada ya mazishi ya Dr Mengi Moshi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

    Ungeniambia Awesso ningekuelewa
  5. T

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Uko sahihi, itakuwa alifariki miaka ya 90 mwanzoni, jina Manengelo miaka hiyo tulilifananisha na jini. Mkisikia Manengelo kapita mitaa yenu miaka hiyo hamlali kwa wiki kadhaa. Tafrani ya kupotea kwake ilitokana na tuhuma za kutaka kumdhulumu mhindi mmoja jijini Mwanza ambaye alikuwa akimdai...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema 'hili tunalichukua'. Hayati John Magufuli aliamua pale pale jukwaani

    Upuuzi ni mwingi, wiziwizi tu
  7. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    Yaani yaaani yaaaniiiiii..!!!!! Mkuu umeongea pointi kama zote, Mimi nilioa mfanyakazi akajikatia bima yake, enzi hizo hawakuangalia vyeti nikaweka mtegemezi ambaye naye sasa ana maisha yake, that's 1 Cha pili, Mshahara unaongezeka, makato yanaongezeka, wategemezi wanaondolewa kwa umri...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

    Duh! umeupiga mwiiiingii..👌
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli. Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu. Labda tuharibu sisi wenyewe.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mkuu apewe mamlaka kuruhusu wanafunzi kukariri darasa

    Sasa kama haujiwezi kwa nini tusikukaririshe ili uimprove?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

    Wakumbeshe
  12. T

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

    Ametoweka ee ?? Ok
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mkuu apewe mamlaka kuruhusu wanafunzi kukariri darasa

    NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao ni wa chini. Katika muda ambao baadhi ya wilaya katika mikoa mbalimbali imekuwa na sera ya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

    Zitto umeongea yaliyo katika muktadha wako kuyaongea, lkn uhalisia si huo. Nikutahadhalishe tu km ambavyo JPM aliwahi kumjibu mwandishi wa reuters pale Kampala alivyozuru Uganda 2016 shortly... '' its either you choose human rights (democracy) or corruption"
  15. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

    Some how fair
Back
Top Bottom