Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

Amos makala anaweza akawa na madhaifu yake lakini kiukweli yeye ni gentleman. Hebu fuatilia utendaji wake alipokuwa RC wa Kilimanjaro, utagundua kwamba yeye ni kiongozi mzuri. Hili ya kupotea katika ulingo wa kisiasa ni kwa muda kwani anaweza kubounce back. Hebu tusubiri tuone hatima yake baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Ahsante

Uliweka maneno ya akiba vizuri mkuu

Naona anarudi sasa kashaonesha cheche huko kwao. Labda wamkate Kamati Kuu kwa figisu
 
safi sana, na huyu wa Dar wananchi wa Kigamboni wameshafanya yao jana!! mambo ni raha tupu, ili tuheshimiane hapa town.
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Sasa kma ahao wanachama walikuwa wanatenda makosa awaachie tu. Never! Kwa hiyo angewaachia ndio angepata ubunge au!
 
Kumekucha !

Za haraka haraka Mwanga watu wamecheeeeka. Nitakuwa Kirongwe kijijini kwetu Jumapili, nitakuletea unywanywa.

Kazi ya Utalii imekuwa ngumu sana, lakini ningekuwa nakuletea unywanywa wa kila siku jimbo la Hai, Nimewekeza Motel Machame na kupandisha watalii.
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Imeshakula kwake. Ndio kawaida ya kondomu.
 
Hivi Mary Mwanjelwa vipi na lile sakata lake la rushwa amepitishwa????au ndo siasa byebye...mwenye taarifa atujuze
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Ametoweka ee ?? Ok
 
Amerudi sasa hapo vp!!??
CDM mnajifanya mpo karibu na sir Godi kumbe vijiba vyo roho tu vimewakaa
 
Back
Top Bottom