JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Mkaja wa mama
Labda kama ni kujitoa ufahamu, nje na hapo lzma mtu aelewe tuu!
Au ntakua naelewa tofauti?
Hebu fikiria hao Mama zetu huko nyuma, unakuta Mmama ana watoto hadi kumi lakini tumbo lipo kawaida.
Mwenzangumie umeshusha injini mara moja tu mtumbo kule,
ulsha anza kutafuta dawa kwenye mitandao ya...