black is beauty
black is beauty
Unafahamu huo mshono unaitwaje?
Kigoli wa MMU...
mbona waguna kipenzi...
btw habari ya wewe?
Kwa mi naona hiyo rangi ya mdomo ndo imeniacha hoi na kaijua kuiseti ni sawa sawa
eh....inavutia
Chocolate !!
Mie tena ni kigoli wa MMU? Na miaka yangu hii38??! Usinitafutie kashfa kama za siti miss TZ
We unataka nimwagiwe maji moto na mkeo eehh!! Kuniita mpenz... mie mkesha club kula ujana...