Mimi kama nimempa binti mimba hata by mistake huyo ndo angekua mke wangu, ingebidi nijifunze kumpenda tu jinsi alivyo..
teh!teh! teh! kwani akili za wanawake zikoje!?
@MBEBA MAONO KAJA kwa nini wanakutendea yote hayo
Pole sana
Mungu wa Mbinguni atakufariji
Damu haipotei
Kila jambo linalotokea ni mpango wa Mungu
Huyo ni mwanao aliyekaa tumboni mwako 9 months.....ni wa kwako
Jipe moyo
There is one day utakuwa pamoja na mwanao
Story yako imenigusa sana
Pole
Mpeleke mtoto boarding school visiting day Mama yake ataenda huko.
Ila una mtihani mgumu sana kimaisha wengi hapa hawaelewi ni wepesi tu kukushauri waonavyo.
Mtoto anahitaji kumjenga kisaikolojia kwa nini hauishi na Mama yake. Pole sana.
Mimi ni mwanaume nilibahatika kupata mtoto wa kiume nje ya ndoa.
Sasa miaka 10 baadae nimeoa na nimemchukua huyu mtoto wangu naishi naye.
Sasa mke wangu ameniwekea masharti ambayo nafikiri ni magumu kutekelezeka. Naamini kuwa mwanamke niliye zaa naye ana haki ya kumuoma mtoto wake kila anapohitaji kufanya hivyo.
Sasa mke wangu hataki huyu mama mtoto afike nyumbani kumuona. Hataki mtoto aende kwa mama yake. Anataka mama mtoto akitaka mtoto tumtume housegirl ampeleke mtoto hoteli foleni halafu wakimaliza kuongea arudi naye.
Hali hii imeniingiza kwenye migogoro maana mama mtoto anaona namnyanyasa na upande mwingine mke wangu anaona pia namnyanyasa.
Hebu niambieni what is the beat way ku deal na hii situation?
Mkuu ni rahisi kuzungumza hivi Kama hayajakukuta! Muhimu ni mtoto kuwa na access ya kuwaona wazazi wote wawili Ktk mazingira ya upendo. Mke hahusiani kabisa na maamuzi ya jinsi ya mume wake kumwona mtoto. Ni maamuzi ya wawili hao waliomleta huyo mtoto duniani. Kwa nini mtoto akose haki yake ya msingi eti kwa sababu mke hapendezwi na jambo Fulani. Wanandoa wamekosa kuaminiana ndio shida inapoanza. Kama ni swala la mtoto na wazazi wa mtoto huyo hawana magomvi au hali ya kudhuriana basi ni haki ya mama kuja kumchukua mtoto nyumbani kwa baba yake hana lazima ya kuingia ndani ya nyumba vilevile kwa baba kumpeleka mtoto kwa mama yake. Kwa nini housegirl afanye jukumu lisilomhusu? Mke alipoolewa hakujua Kama kuna mtoto kama alilitambua basi akubaliane na mazingira yaliyopo ya mumewe kuwa na haki ya kumpenda na kumwona mtoto wake katika uaminifu kwamba yeye ni baba na mume wa mtu period. Mke naye atumie busara ya duniani mengi Kama amezaa basi ajue hii Hali inaweza kumkuta hata yeye na watoto wake. Tenda mema utalipwa memakuwe na utaratibu maalum wa kuumuona mtoto, mwingine anajifanya anataka kuona mtoto kumbe ndio anajileta leta kijanja. ila kama mazingira yanaruhusu bora mtoto alelewe na mama yake mzazi tu.
wewe inaelekea hujaolewa jinsi unavyoreason. unadhani wewe ungekuwa na mtoto wa nje mmeo angeruhusu uliezaa nae aje aje kwako eti kumuona mtoto? na angekataa ungemlaumu kama unavyomsema mwanamke mwenzio eti ana visa visivyo na logic?!
nahisi uko kwenye nafasi kama ya huyo dada mwenye mtoto ndo maana unaongea kwa kuwa upande wake. khaaa!
Umpe nafasi mama wa mtoto kukaa na mwanaye wakati mwingine hasa wa rikizo itapunguza uhitaji wa kuja kumtembelea mara kwa mara,ila mkeo naye asiwe insecure kiasi icho,after all those years bado anaona mzazi mwenzio ni tishio!!Lazima at one point ninyi kama wazazi mtaonana tu,ingawa siafiki swala la mzazi mwenza kuja hapo kwako.