Ili uisome vizuri na kuielewa taarifa hii inatakiwa kwanza, upake makeup nyingi, uvae magoldi mengi, gauni la kumeremeta, ushike mic kwa mkono wa kushoto Kama vile hutaki vile, urembue macho halafu nyuma yako wawe wababa wawili watatu wanapiga violin pamoja na kinanda. Sasa ndio...