hamna mapumziko wala kutuma mwakilishi, akiondoka madarakani atakuwa na picha za dunia nzima
ila kikwete anadharau mbaya..huyu inabidi siku moja akirudi akute ikulu imetekwa.
Hivi Asinge weza kuwakilishwa na Makamu wa Raisi na yeye kutulia kutafuta ufumbuzi wa hili linaloendelea kwasasa?Hata kwa afya kusafiri hivi siyo vizuri achilia mbali gharama.
.Mkuu wa Kaya ni Chuma cha pua, inahitaji "ujasiri!?" wa hali ya juu ku'absorb' shocks anazokabiliana nazo kutokana na madudu ya wasaidizi wake.
Hivi yuko na ndege ya rais au changanyikeni?