Zitto aomba Bunge la dharura kumjadili Pinda

Its a gud idea but kikwazo ni kwmba even huyo anayetakiwa kusema whether yes or no anategemea kauli na anayetakiwa kujadiliwa so itawezekanaje aseme yes?you see in principle spika ndo mwenye madaraka but si unajua wabongo jinsi tulivokua mabingwa wa rivasi na reverse angle?mi i think sisi ndo wenye nguvu now,ujue kuna kitu huwa kinanichanganyaga sana aisee,watanzania wote tunalalamika tunayemlalamikia exactly ni nani?
 
Nawe uwe unafikiri kwa makini kabla hujajibu hoja;
hiyo 'majority' itapatikana kwa 'secret ballots' kinyume na hizi 'signatures' ulizoweza kuziona na kujua nani yumo na nani hayumo!

Kwa hivyo lolote litawezekana tukifika huko!
 
Hii inaonyesha Serikali yote ilivyooza wote wanahitaji kuondolewa hivyo umma ndo wenye wajibu wakufanya hivyo G75 wamemaliza kazi yao.
 
Acha kuwatisha wanaharakati kwa vitisho visivyokuwa na kichwa wala makalio.Unaongea kwa hisia pasipo hoja yakinifu.Zito hajaanza leo,uanaharakati kaanza toka akiwa na miaka 16.
 
Mkuu asante ka kuwakilisha,
Ila kasome sheria vyema, spika ndie baada ya kujiridhisha kutokana na kanuni na hoja ya mbunge baada ya kuipokea ndio anayeruhusu hoja hiyo ijadiliwe.

Pia ili PM atolewe ni lazima majority waunge mkono, sasa kwa wasomao alama za nyakati kitendo cha wana CCM 5 tu kuanguka signature zao ni ushahidi kuwa hata kama hiyo hoja italetwa itaangukia pua.

Mwisho uwe unafikilia kwa makini kabla ya kuleta hoja, Pinda pamoja na kuwa ananiboa kwa kutokuwa strong, ni mzoefu sana na hawezi kuathirika kutimiza majukumu yake kwa hizo signature 73, ushahidi wa hili angalia hotuba yake ya kuhitimisha.

Tatizo hawa vijana wengi waliojaa humu ni hawa vijana kutoka face book,wanasumbua sana,wao walikua wakidhani sahihi 70 ndio zinatosha kuiangusha serikali bungeni,wakisahau hizo zinatosha kuwasilisha tu hoja bungeni,wanahitaji aslimia 50+1 ambao niwa bunge 173!
 
Zitto ni shujaa na kijana jasiri sana never hapened before,
MUNGU WA ISRAEL AMBARIKI KAMA JINSI ALIVYOMBARIKI YAKOBO. ktk jina la Yes. Amen
 
walidharaulika wengi, lakini haimaanishi kuwa ndo walikuwa hawana hoja! hoja ya zitto ni kubwa kutosha na hivi jitihada za kuizamisha zinaonekana wazi! jambo la msingi ni kumwachia mungu! kun wakati nchi hii itakombolewa tuu nao wanaodharaulika sasa ndo mtakaowaheshimu siku za usoni!
 
Ni wazi ndani ya serikali hakuna umoja! Mawaziri wanashutumiana hivyo haiwezekani wakawa na msimamo mmoja katika maswala ya kitaifa na hasa katika kukuza uchumi na kuondoa umaskini wa watanzania.

Hivyo wote kwa pamoja MAPAMBANO BADO YANAENDELEA!
 
Maskini watanzania na ukondoo wetu,nasi tutalala na kusema yameisha na baada ya kula na kushiba tutakuja kujifariji hapa JF,wote ni wale wale kwa nyakati tofauti
 
Kama kawaida, nilitegemea the same results. No one takes firm actions. Business as usual, kama alivyosema mh. Speaker, yoote yalikuwa ni changamoto, baada ya hapa mnabaki marafiki, siyo mtu anakasirika mpaka anapasua mifupa! Therefore....no more action, next kikao june 12. Posho mpya, tuhuma mpya, siku zinapita, maisha ya waTz yanagonga mwamba upya. Mungu ibariki Tanzania...wabariki viongozi wake...
 
walidharaulika wengi, lakini haimaanishi kuwa ndo walikuwa hawana hoja! hoja ya zitto ni kubwa kutosha na hivi jitihada za kuizamisha zinaonekana wazi! jambo la msingi ni kumwachia mungu! kun wakati nchi hii itakombolewa tuu nao wanaodharaulika sasa ndo mtakaowaheshimu siku za usoni!

.
Taifa haliwezi kunyang'anywa haki ya kuishi na mama kiroboto tukanyamaza hivi hivi. Tutapambana misingi ya sheria za nchi kuheshimiwa hadi tone la mwisho. Tuna kumbu kumbu ya jinsi mama kiroboto alivyopewa usipika na genge la mafisadi. Na leo hii alikuwa anahakikisha hakuna fisadi linallowajibishwa. Naomba kila atakakopita huyu spika mlawatu azomewe. Wenye kuweza kufunga kwa Muumba mpenda haki na wafanye hivyo mpaka Mungu atakapolikata shauri hili kwa haki. Daudi nabii wa Mungu aliwahi tamka maneno haya; wakati huo akiwa mzee kwamba ''nilikuwa kijana na sasa mimi ni mzee, sikuwahi kuona Mungu akimwacha mwenye haki wake'' sasa huyu mama anashirikiana na mabarathuli kuinyanganya haki ya maskini wa Tanzania wasio na tumaini. Waliothulumiwa huduma za afya, maji salama, umeme, elimu, lishe bora nk. Eeh muumba uchungulie kutoka katika mbingu zako takatifu kama ulivyo uchungulia mji wa Sodoma, ukaone thulma juu ya taifa la Tanzania inayofanywa na Serikali yake, ukahukumu eeh Bwana Mungu. Twayaacha macho yetu yamekazwa kuelekea mbingu zako tukitaraji ukombozi wetu kwa njia yako ya muujiza maana Mungu wewe hufanya njia pasipo njia. Nasi hatutazimia bali tutasimama kidete hata tumelikomboa taifa letu. Twaomba tukiamini katika jina lipitalo majina yote, mbinguni na Duniani, yaani jina la YESU; Åaamen.
.
 
Nami niongeze kwa kusema UKWELI NI KWAMBA UFISADI MKUBWA WA KUTISHA UNAFANYIKA. WANAOTETEA WANAJUA HILO. WANAOKATAA KUWAJIBIKA WANAFANYA HIVYO KWA MASLAHI BINAFSI, WANAOKATAA KUWAJIBISHA PIA NI KWA MASLAHI BINAFSI, WALIOPIGA KELELE KABLA YA KUTISHWA ILIKUWA KWA MASLAHI YA TAIFA, NA SASA WANATETEA NA KUSIMAMIA MASLAHI BINAFSI, MASLAHI YA TAIFA (wananchi) YAMEBAKI MIKONONI MWA WACHACHE WENYE KUTHUBUTU. ZITO KWA VILE ANASIMAMIA UKWELI NA KWA VILE UKWELI HAUNA MAANA NYINGINE YEYOTE BASI MAJIBU YAKE YATAONEKANA WAZI HATA KAMA YATACHELEWESHWA. Tumpe Moyo na asikatishwe tamaa na wale walioanza kugeuka kuwa na lugha tofauti na juzi. Hao iwe ni changamoto ya kufanikisha. Mh Zito tulio sambamba na wewe katika hili ni wengi kuliko hao wanaoandika mambo yanayokatisha tamaa kama vile wanataka kunyang'anywa migao yao.
 
Back
Top Bottom