kiroba
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 324
- 114
CUF=CCM. Haya kaka nenda kapokee ujira wako kwa Mukama na Nape!bora umesema ukweli mkuu maana hawa magwanda wa kichaga nao ni wezi kama yule mvuta bangi wa arusha lema pia na hao wakina slaa ni wezi na kaiba ipad mwanza na anasakwa na polisi pia acheni kula ruzuku bure wezi wakubwa nyieeeee
hivi jamani mnadhani tukiwapa chadema nchi yetu itakombolewa?na mjue wazi kuwa chadema hatuwapi nchi wana ajenda yao nyuma ya pazia alafu ninyi wakosa akili mnashabikia uozo wa wachagaaaa jamani nawasilisha hoja yangu hiiii mimi sio gamba na wala sio chadema mimi ni mwana anae fikiria mbali ninyi mna macho mawil mengine kachukuwa zito wenu huyu na atawaacha pabaya mtakumbuka upuuzi wangu.