Mkuu Mkwawa awali ya yote pongezi sana kwa kutuelimisha nn mtazamo wako na ushauri wako kwangu kuhusu hii pc kama ni nzuri ya kawaida au ni mbaya.
processor:Intel(R)Core(TM)i5CPU M540at 2.53GHz 2.53GHz..............utanisamehe hilo neno at limeandikwa kwa mfumo wa computer lakini nimeshindwa...
Wakuu heshima kwenu na poleni na harakati mbalimbali za kimaisha,,ndugu zangu namshukuru Mungu mwaka huu nimepangiwa chuo cha St john main campus faculty ya bachelor of science with education lakini kwa kweli mimi cjawahi kufika dodoma na kibaya zaidi sielewi hata utaratibu wa pale chuoni kuhusu...
Mkuu najihis kuchanganyikiwa mm ni miongoni mwa waliokosa vyuo awamu ya kwanza nilikuwa na c ya biology,,d ya georaphy na chemistry nilipata e je ni chuo gan cha ualimu niapply kwa second round?
Wakuu naomba msaada mm nimemaliza form4 2010 lkn matokeo yalitoka nikiwa na credit mbili,,2011 nikareset nikakosa na mwaka 2012 nikareset nikapata so zikamilika bt kutingana na tatizo la kifedha mwaka huu nimefanya mtihani wa form5....sasa ktk kutuma no ya m-pesa je nilipe kupitia namba ya...
Ndugu zangu naomba mnisaidie ni hv mm nimehitimu form4 mwaka 2010 bahati mbaya matokeo hayakuwa mazuri sana nilikuwa na credit2,namshkuru Mungu nilirudia na nikapata hv muda huu nipo ukingoni kumaliza mitihani ya form6 kwa combination ya C.B.G lkn kutokana na hali ya kifedha nimefanya mtihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.