Mwenzenu majanga

Mwenzenu majanga

Upo sawa kabisa mkuu, kutaka prestige ya kusoma vyuo wanavyoviita vikubwa, wanakuja kushtuka mwishoni hata hivyo walivyoviona vidogo vinakuwa vimeshajaa, hapo nani wa kulaumiwa??

ujue ucseme kitu ambcho huna uhakika nacho mwaka huu weng wamekosa chuo na wana gpa nzuri,msikalie kusema wanataka vyuo vzur hvohvo vbaya watu tumekosa
 
ujue ucseme kitu ambcho huna uhakika nacho mwaka huu weng wamekosa chuo na wana gpa nzuri,msikalie kusema wanataka vyuo vzur hvohvo vbaya watu tumekosa

Nazungumza kwa experience ya watu wanaonizunguka, hata hivyo samahani kama nitakuwa nimeongea vibaya, ushauri, endelea kucheki nafasi bado zipo.
 
daah pole sana kijana japo nami ni muhanga lakini naomba niweze kushare nawe japo kiduchu nikijuacho,kwanza kijana ukijichanganya utakosa mkopo cha kufanya omba kozi zenye mikopo walau hata kiduchu then fuatilia transfer,mimi nilimaliza 2014 nikiwa na div 3.11 nimetoka jeshi na stress baada ya kukosa chuo nikajaza open university bila kujua ipoje kuulizia watu nikaona sistahili kusoma apo nikaomba transfer nikapata st.johns dom education uku me na uroho wa kusoma MD nikahamia nursing wakanipokea nikajitahidi ivo ivo kiugumu semester ya kwanza ikaisha nilipoona mkopo unazidi kua tatizo NIKAACHA ili niombe tena asee sijawahi kudream kusoma engineering kwa iyo round zote tatu nilijitahidi kujaza vyuo walau vya bei nafuu MD nikatemwa ILA KUMBUKA GOD IS GOOD ALWAYS itabidi nijaze walau vyuo nipate mkopo ili niweze kuhama

Mkuu tafadhali sana naomba namba yako nataka kujua mengi kuhusu chuo cha st john maana nimepangiwa huko mpk sasa sielewi taratibu za chuo
 
wewe hata mim nilijaza edxn kote had huko udom na nimekosa nw et wanaleta za biashara c bora uache tu pcb hd biashara ni ujngaujnga tyu

Huu uandishi sasa, poleni
 
Upo sawa kabisa mkuu, kutaka prestige ya kusoma vyuo wanavyoviita vikubwa, wanakuja kushtuka mwishoni hata hivyo walivyoviona vidogo vinakuwa vimeshajaa, hapo nani wa kulaumiwa??

absolutely ryt. wanachagua vyuo kimajina baadaye 2nd round wanaanza kutapatapa. mtusamehe ila tunaongea from experience
 
kwa ushauri wangu kama unaona hamna chaguo lolote linalokufaa usichague chuo mwaka huu subiri mwakani uangalie hali itakuaje kwa sababu utaenda kusoma kitu usichokipenda. Nina ushahidi wapo walioacha kujaza vyuo mwaka jana baada ya kutemwa 1st round na mwaka huu wamekua wajanja wamepata kozi nzuri tu.
mwakani elimu bure mpaka chuo kikuuuuuuuuuu.
 
Mbonaa ipoo MTU nimemfanyia muda si mrefu mwenge catholic university (mwecau)
 
Kweli penye wengi hakiharibiki kitu ni kweli kaka mwenge kipo tena kinanafasi nyingi ngoja tusibiria tena maamuzi ya TCU ahsanten sana na pia kama vpo vingine mtujuze coz kuhairisha mwaka kama wadau walivyochangia inaw eza kuwa tatizo zaidi
 
Ahsante ni wote kwa ushauri mliotoa and naamini kwa ushauri wenu nitatoboza ubarikiwe sana
 
Hauko serious wewe yaani mtu upate 2.10 tena pcb ukose chuo??? Au ndo brn ????

Usimshangae mkuu mm nina dogo langu amemaliza 2015 lilipiga B+*3 div 1.6 ya zamani hiyo, cha kushangaza 1st round wakamtema amekuja kupata 2nd round.... BRN ni bomu linalosubir mda ufike lilipuke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom