Malafyalep habari Ndugu, na hongera sana kwa kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji, & pia asante sana kwa hii elimu uliyotugawia, kweli imekuwa chachu na msaada mkubwa kwa wengi wetu. Mimi kaka naomba kujua kama una uzoefu na Mashamba ya kisarawe. Nina shamba ambalo halijalimwa, na ningependa...