Mnamo mwaka 2012, nikiwa bado mgeni katika hostel moja hapa dar,wakat npo pale hostel nilizoeana na jamaa mmoja hivi anaejiita Maradona, duh! jamaa ni mcheshi sana huyu tulipojuana tunatoka mkoa mmoja akawa ananiongelesha kilugha basi ni kucheka tu!
sikumoja bana tumekaa zetu nnje ya hostel...
Write your reply... amka bro, watakufilisi hao. . mpotezee kabsa chuma ulete huyo, nawewe unaona sifa kabisa -et nimempiga kuku nimempa na hela nikamruhusu aende, dem kakubali haraka hvyo wewe unamtreat kama dem kwel kumbe taxi bubu hyo
s
Write your reply... Ana asili ya wapi huyo? nadhani atakua pia mnagombana sana, anaumwa na kichwa mara kwa mara, hana hamu ya mapenzi. .ANA JINI MAHABA
nilishawahi kua na mwanamke mwenye jini mahaba na katka story zake aliwah kuniambia kuna kipind yalimzidia hadi akawa akikutana na mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.