SITOSAHAU: NILIVYONUSURIKA KUAMBUKIZA VIRUSI VYA UKIMWI

SITOSAHAU: NILIVYONUSURIKA KUAMBUKIZA VIRUSI VYA UKIMWI

Tint Alexandre Arnold

Senior Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
123
Reaction score
148
Mnamo mwaka 2012, nikiwa bado mgeni katika hostel moja hapa dar,wakat npo pale hostel nilizoeana na jamaa mmoja hivi anaejiita Maradona, duh! jamaa ni mcheshi sana huyu tulipojuana tunatoka mkoa mmoja akawa ananiongelesha kilugha basi ni kucheka tu!

sikumoja bana tumekaa zetu nnje ya hostel akaniambia "oya mwanangu mi hapa ndan maarufu nina marafik wa kike kibao tulia hapa nakuletea demu ushndw mwnyw!" hata sijajibu kitu jamaa kaingia ndani fasta kama dk3 hiv nashangaa kwel anakuja na dem! duh! nkasema isokeii ngoja nimpge freestyle fasta huyu, nikamjaza pale dem akajaa, siku chache mbeleni tukawa wapenzi.

mazee ishu ilikuja kwenye kupewa k, dem anabana mbaya yan hatak.. nikamsimulia mshkaj wangu yule akaniambia 'we tulia, pga chin kama anabana minakuletea mwngne mindio maradona bana!, nkamwambia 'we kausha minakomaa nae huyuhuyu, oneday yes dem akatoa k poa tu, nikapga kavu kama x2 hv! siku1 nikaumwa sana homa, nlipopata nafuu kdogo, siku1 nashangaa dogo anakuja chumban na vipimo vya HIV

Itaendelea. .
 
Duh! Braza mbona threads zako huwa zinautata sana, Mara ulinusurika kufumuliwa malinda.... Basi uko na bahati kidesign flani hivi katika maisha yako... One day yes never give up...!
 
Duh! Braza mbona threads zako huwa zinautata sana, Mara ulinusurika kufumuliwa malinda.... Basi uko na bahati kidesign flani hivi katika maisha yako... One day yes never give up...!
bro umenifananisha mimi bdo mgeni hapa jf, nyuzi ya 3 hii
 
Umenusurik kip hasa ukimwi, ngoma au hiv
Anza kula mashudu

Mwezrahi
 
Back
Top Bottom