kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,819
Watu wengine mnatafuta Kuibiwa kwa nguvu...Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.
Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.
Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.
NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app