Mnamo mwezi wa 6 mwishoni nilitumia dawa ya kusafishia kinywa mouth wash menthly peroxide!! Ni ilie tu nimeweka kinywani misuli ya kinywa katikati ya meno ikaanza kukakamaa! Meno na fizi misuli kule ndani inavutana hadi meno naona km hayapo sehemu sahihi yamegandamana hata tooth pick hapiti...
ninahutaji kijana wa kuniuzia cookies stand ya mabasi ya MUHEZA TANGA, cookies pakiti 1 nauza sh.1000 atakuwa anawatembezea wasafir!!! mshahara maelewano ila tu auze pakti zisizopungua 16 kwa siku!! aliyetayari ani PM!! SERIOUS PEOPLE ONLY
Habari za jumapili wapendwa wangu nauliza kama graduate anaweza kuomba hizi kazi za utendaji wa kijiji III zilizotoka katika halmashauri nyingi, au ukiwa na degree huruhusiwi kuomba?
Hadi tu hao wenye certificate?, nataka kuomba ili iwe starting point yangu ya kuingia kwenye government system
Jamani naomba mtu ambaye ameshalima kitunguu swaumu snipe ABC zake!!! Km Wapi ananunulia mbegu bora. Madawa yanayotumika, hatua za uupandaji mpk kuvunA, vitu vya kuzingatia ktk hiki kilimo, heka moja inaweza gharimu kiasi gani? Na hiyo heka inaingia mbegu kiasi gani?!!! Ntashukuru kwa...
Jamani naomba msinichoke!!!! Nimeajiriwa kwenye kampuni moja hivi Nina mwezi sasa ila bosi ana kejeli.matusi. ni mkali kiasi kwamba hana jema hata ujipinde vipi hana shukrani!!! Ukiamka asubuhi unaanza kuwaza Leo kazin itakuwaje!!!! Japo kazi hakuna siyo kwa huyu bosi!!!! Naombeni mnishauri...
Jamani nilikuwa naomba kujua nchi za jirani na tz ambazo biashara ya ubuyu inalipa/ inatoka. Ninauza ubuyu mzuuuuri/mtam ishu ni soko! Naomba mnisaidie
Habari wandugu!!! Nilitaka kujua km kuna mtu alishawahi kua attend interview za sales consultants za tunakopesha!!! Nilitaka kujua zikoje?? Malipo yao yakoje je ni commission bases au salary?
Mim ni msichana nimeolewa huu ni mwaka wa 3 kwenye ndoa ! Tangu nilolewa nimepata 1miscarriage 1 ikiwa na miezi 3! Nikapata tena ujauzito bt mtoto akafia tumboni miezi 8!; toka hapo nina mwaka ss sijashika ujauzito nimetafuta hata sielewi nifanyaje!!! Dr ameniambia kizazi kimejaa Maji!! Ss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.