Mim ni msichana nimeolewa huu ni mwaka wa 3 kwenye ndoa ! Tangu nilolewa nimepata 1miscarriage 1 ikiwa na miezi 3! Nikapata tena ujauzito bt mtoto akafia tumboni miezi 8!; toka hapo nina mwaka ss sijashika ujauzito nimetafuta hata sielewi nifanyaje!!! Dr ameniambia kizazi kimejaa Maji!! Ss nilikuwa nattaka kujua je kizazi kikijaa Maji kinaweza leta shida kupata mimba!??