Upendo hauhesabu mabaya, Upendo hufukia ubaya wote wa mtu.
Ukimpenda mtu na ukadhamiria haswa kumpenda kamwe hutoona wala kuhesabu ubaya wake.
Wahenga wanaposema amri kuu ni upendo maana yake ktk upendo ugomvi na aina yoyte ya chuki na kadhia haviwezi tamalaki.
Ila kinyume chake ndio kuanza...
Inategemea ntu na ntu.
Mie kuna ntu nilimwacha lakini siachi kumsifia jamaa ni handsome kweli na yuko vizuri kwa game lakini kitu kidogo tu tulishindwana na ni rafiki yangu bado tunajadili Mambo kadhaa ya maisha ingawa kila mmoja alisha move on
Wanachama wa chadema ndio wafuata mkumbo aka nyumbu.
Better ukawa huna chama hii nchi ni shida sana wanasiasa wa ovyo wanaotaka kutetewa na wananchi badala wao ndio wawatetee wananchi.
Sina Imani nao vigeugeu
Kwa mtu alieanguka chini Kisha akaamka baada ya kuzubaa hapo chini muda mrefu na akapukuta mavumbi yake tena hakusaidiwa bali alichekwa kuwa angukko lake ni lakujitakia.
Mtu Huyo ainukapo na kitembea kwa hatua za haraka lazima wewe uliemcheka ukidhani hatoinuka tena ujjtafakari mara mbili...
Pale viongozi WA kisiasa wanapoacha kutetea maslahi ya wananchi na kuwataka wananchi watetee maslahi yao inakuwa shida sana kwa mwenye kutumia akili yake kuelewa siasa za Afrika.
Wananchi Wana changamoto lukuki lakini kamwe viongozi WA kisiasa hasa wasioko madarakani hawajawahi tumia nguvu...
Wote walitajwa kwa scandal tofauti.
Chenge
Tibaijuka
Lowasa
Tangu walipoamua kumtakasa Huyo WA Richmond sijawahi kuwaamini tena kama wanawatajaga mafisadi kiukweli au uchwara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.