MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,697
- 5,584
Hii kitu ni ya kubeba majaniWachaga kwa toyota stout ni noma,wanapenda sana hizo ndinga.lakini kwa miaka hii imepotea sana hiyo gari lakini ukienda kwa wachaga lazima ukutane nayo.
Hii kitu ni ya kubeba majaniWachaga kwa toyota stout ni noma,wanapenda sana hizo ndinga.lakini kwa miaka hii imepotea sana hiyo gari lakini ukienda kwa wachaga lazima ukutane nayo.
Basi utafiti wako ni sawa tu na ule wa TwawezaWachaga mkuu
Mchaga ni nani? Mmachame? Mrombo? Mmarangu? Muuru?Ndo maana nkasema kwa wachaga ninaowajua nawaona na baiki so sjui n wachaga wakimbizi au wamejipachika tuuu uchaga...,lakin nawaona weng wao wanazkubal sana anita...
Wachaga kwa toyota stout ni noma,wanapenda sana hizo ndinga.lakini kwa miaka hii imepotea sana hiyo gari lakini ukienda kwa wachaga lazima ukutane nayo.