Update ya siku ya upanda miti leo Oktoba mosi

Update ya siku ya upanda miti leo Oktoba mosi

Majambazi yanatesa Goba wala hana Habari

Ndani ya wiki moja, matukio makubwa 7 ya ujambazi yametokea Goba.watu wameuwawa na wengine kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na kisha kuibiwa.GOBA NI KANDA MAALUMU YA MAJAMBAZI,
 
Wanachama wa chadema ndio wafuata mkumbo aka nyumbu.
Better ukawa huna chama hii nchi ni shida sana wanasiasa wa ovyo wanaotaka kutetewa na wananchi badala wao ndio wawatetee wananchi.
Sina Imani nao vigeugeu
Kama kungekuwa na chama kizuri, kusingekuwepo na nyumbu leo.Nyumbu ni matokeo na uzao wa chama chetu hiki tukufu.Hivyo nyumbu wa chaddema ni wa kuigaiga tu.
 
Halafu hiyo miti litakiwa ipandwe wapi? Naishi Manzese nyumba ya kupanga, ukitoka room yangu unaenda kwa jirani. Mti ungepandwa chumbani? Wakati mwingine tutumie uelewa Wa mazingira ya mji kabla ya kukubali kila tuamrishwalo.
 
Back
Top Bottom